jorochere95
JF-Expert Member
- Oct 27, 2015
- 294
- 152
Wana JF napenda kutumia fursa hii kuomba kupata ushauri wenu.mm kijana ambaye Nina maisha ya kawaida sana.kama ilivyo desturi unapofika muda fulani ,kama kijana inakubidi kuwa Na mke !
Katika harakati za kuoa nime bahatika kupata mabinti wawili.wa kwanza ana sura mbaya sana ila ana pesa zake Na biashara yake nzuri .Mara nyingi amekuwa akinitoa "out" Na kunihonga sana lakini tabia yake cijaipenda sana.
Wa pili ana tabia nzuri sana Na sura nzuri pia ila hana mbele wala nyuma Na inasemekana kwao ni maskini wa kutupa
Sasa ndugu zanguni naombeni ushauri wenu kabla ya kufanya maamuzi naogopa kujuta baadaye
Asanteni sana J/pili njema.