Elections 2010 KINANA: Kumbe CCM wanalijua hili!

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626
Leo asubuhi nimecheck TBC1, kinana anasema 'kupanuka kwa demokrasia na kuongezeka kwa uelewa wa mambo ya siasa katika jamii' ni baadhi ya sababu ya ccm kupoteza viti vingi ukilinganishwa na mwaka 2005.

Kumbe CCM wanajua kuwa ili waendelee kutawala ni muhimu demokrasia ikindamizwe. Pia wanajua ili waendelee kutawala ni muhimu uelewa wa siasa ktk jamii uwe mdogo.

WHAT DOES THIS MEAN: Mtu mwenye uelewa mzuri wa siasa, hawezi kuchagua ccm, mtu alokua huru (mwenye uhakika kuhusu mkate wake wa kesho, asiye na shinikizo flani) hawezi kuchagua ccm

@ kinana, tukutane 2015
 
Back
Top Bottom