Kilichomtokea rafiki yangu ni funzo kwangu

Akamtafute bikira maria bas maana huyo aliye zaa hana hadhi kubwa.maana aslmia 95 woooooooooooote n used nw days
 
Hapo jamaa atembee na Yesu tu, hakuna mke hapo. Mwanamke "USED" huyo anapeleka wapi? Mabinti warembo wote waliojaa nchini kwetu amekosa hata mmoja? Mwambie afikirie vizuri bhana aache ushamba... binti lazima ajitunze, akishindwa kujitunza, awapishe waliojitunza wachukuwe nafasi zao kwa upooole kabisa bila vurugu..

Kwan wewe bikra????
 
Sijakwazika mpendwa, kuwa tu na amani.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums



Heaven Sent , sheria ya Mungu hairuhusu watu kujuana kabla ya ndoa!

Sasa kwanin taratibu za kisukuma ambazo ni KANUNI NDOGO KTK ILE SHERIA MAMA AU KUU YA MUNGU ZIONEKANE HAZIFAI? tena kwa mtu aliezaa?

Nimeona hoja yako hapo nyuma km vile kuna ukandamizaji unafanywa kwa wanawake! Sio hivyo dada Yangu! Ata sisi wanaume tunatakiwa Tuwe mabikra kabla ya ndoa!
 
Last edited by a moderator:
Heaven Sent , sheria ya Mungu hairuhusu watu kujuana kabla ya ndoa!

Sasa kwanin taratibu za kisukuma ambazo ni KANUNI NDOGO KTK ILE SHERIA MAMA AU KUU YA MUNGU ZIONEKANE HAZIFAI? tena kwa mtu aliezaa?

Nimeona hoja yako hapo nyuma km vile kuna ukandamizaji unafanywa kwa wanawake! Sio hivyo dada Yangu! Ata sisi wanaume tunatakiwa Tuwe mabikra kabla ya ndoa!

Daah hapa sina usemi zaidi.. Tatizo hiki kizazi chetu cha sasa hakina hofu ya Mungu. No sex before marriage ni big issue eti

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mbona mnamtetea sana huyo binti? Tatizo hakuwa mkweli tangu mwanzo mpaka akabanwa na jamaa, we huoni kwamba hilo ni tatizo? We ukiwa na mchumba wa kiume aliwahi kuzaa nje ukimuuuliza anakataa mpaka ukapata uhakika kupitia watu wengine, ulipombana tena kwa kuonyesha unafahamu ndipo akakubali utaona kawaida? Tatizo la mabinti wengi wa siku hizi wanaishi kwa uongo uongo katika mahusiano, that is a problem!!

Haswaaa! Huyu dada alichokosea ni kuficha toka mwanzo kuwa yeye hana mtoto kumbe anamtoto.
 
Huwezi kuacha kwa sababu wanawake wengi siku hizi kuolewa ni fashion! Lakini kiuhalisia mpenzi wako anapofanya jitihada kuficha kitu flani na tena kizito ukakijua kwa jitihada zako tu lazima utakwazika sana moyoni, hata upendo wako kwake utakuwa na walakini kiasi flani!

embu chukua 'like' mkuu
 
Binadam ana pangiwa value?Thamani yake ina devaluate kulingana na kazaa watoto wangapi?Haya ni manyanyaso sana kwa huyu binti sababu tu eti kazaa!

Rais Prof Mutharika wa Malawi juzi tu kaoa Mama mwenye watoto zaidi ya mmoja bila kupangiwa thamani yake itakuwa ndiyo huyo rafiki yako mganga njaa kama mm tu?

Rafiki yako kanikera sana agrrrrrtr!
 
Wanaume bana amnaga shukran tukitumia mokorogo shida tuspotumia hatuna hadhi lip jema kwenu.. ????

binafsi sijapenda jamaa anavyomchukulia huyo binti. mahari siyo lazima amalize anaweza kutoa hata nusu tu halafu nyingine akamalizia siku za baadaye. Kwenda kujitambulisha halafu baadaye mnagaili kisa mahali ni kubwa huo ni ushamba kupitiliza.
 
Tunafanya naye kazi hapa, alimchumbia binti, alipomuuliza kama ana mtoto binti akakataa kuwa hana, alimuuliza kama mara tatu binti akasema hapana cna.

Wiki iliyopita acha ya juzi tulienda kwao kupajua na kujitambulisha rasmi tulikaribishwa vzr tukakaa na kula then mazungumzo na binti pamoja na rafiki yakaanza baadae wazazi wake waliitwa.

Baada ya kujitambulisha pale na kuzungumza nao ukafika muda tukaaga kuondoka ili tukalale guest then kesho yake tuondoke, tukiwa njiani kuelekea guest baba yake akampigia cm na kumwambia asiende kulala hadi afanye uchunguzi kuhusu binti huyo, tulishirikiana pale kufanya uchunguzi ndipo watu watatu tuliowahoji kwa muda tofauti wakisema kuwa huyo binti ana mtoto wa kiume alimpata akiwa shuleni,

tuliishiwa nguvu lkn nikampa moyo rafiki yangu sasa akaamua kumpigia tena cm binti huyo akamuuliza tena kama ana mtoto yaaan ndipo akakili kuwa ni kweli na mtoto ni wa kiume.

du! alipomwambia baba yake aksema haina shida hata kama ana mtoto cha mcngi anachojua ni kuwa mtoto wa kiume kwa kabila la wanyantuzu huwa anakuwa upande wa ujombani.

Rafiki yangu akatafakari sana kisha akamwambia baba yake kuwa sawa wajiande waende kupanga mahari ila akatoa conditions kuwa mahari isizidi milioni moja ikiwa watashindana basi warudi tu. baba mtu wakaenda juzi jumamisi na wakaambiwa ngo'mbe 13 mbuzi 2 na kitenge wax moja, mzee akakubali na ktk pesa ngo'mbe 13 ni sawa na T.shs. milioni 1 laki 7 hadi 8 sasa baba mtu kumwambia kijana wake kijana amekataa kata kata kuwa hiyo mahari ni kubwa ukilinganisha na hadhi ya huyo binti, kasema nimshauti jmn ushauri wenu hapa ni muhimu je amuache? kijana ana 28 yrs old. na binti ana 21 yrs.

umepata funzo gan?funzo la kutowathamini wanawake wenye watoto au?
 
Back
Top Bottom