Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Mwaga, ujuzi nna kifaa changu kimekidhi vigezo!
Lazm ukubali kuinstall app from unknown source
Ni app salama haina shida
Nenda Google search mobdro na uichukue link ya kwanza fungua kisha click sehemu ya download.
Ni mb 22 tu
Monekano wake no mzuri INA category za chanell na kunna chanell nyingi sn
 
Hii app saf an mi nimecheki game zote za WK end hii kwenye cm yng
 
Hanna app ya online kwenye cm zaidi ya hii
Sabab ni rahs kutumia
Chanell Zoe za being,fox,skysport,b football,BT sport,setanta na nyingine nyingi sn
 
Kwa wapenda movie ndo ucseme kuna category ya movie kuna chanell kwa ajili ya movie mpya tu za 2016 masaa24 . kama kuna movie mpya hujaiona nenda hapi
 
Mi huwa natumia acestream kuangalia mpira, naikubali sana kwani haitokei buffer hata kidogo had mechi inaisha na quality ni hd 1080p huwa natumia kama mb1500 hadi mpira unaisha
 
Habari wadau? mwenye haja na android tv box,ninazo biashara
tv boxes.jpg
tv box ports.jpg
V88.jpg
 
Back
Top Bottom