Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,844
- 40,207
- Thread starter
- #1,581
hapo inamaanisha computer haiwezi kuwasiliana na hard disk ili isome operating system na kuwaka. inawezekana hdd/ssd yako imekaa vibaya au imeharibika jaribu kuiangalia au kama una hdd nyengine karibu ieke