Kiingilishi cha JK

Status
Not open for further replies.

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,706
Aiseee kingereza za kikwete aisee........enewei hakufaa kuongea kiingereza ambacho hakijui hakukuwa na haja ya kulazimisha kuongea lugha asioiweza.......maana jana kajitahidi kajitahidi saana ila wapi.....unaweza kusema maswali alikuwa anayakwepa lakini sio hivyo..ila hakuwa anajua ajibuje.......
 
wewe ulietoa mada unakijua?? Acha ujinga wako wa kumkejeli j.k, tukimleta hapa baba ako azungumze na wale waandishi na ampokee obama angeweza?
 
Wht's does manufacturing of teachers means?...lol!, u people siriaz?!....lol!
 
Have mercy on him jamani, everybody's pressure is high now in Tz...lol!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom