Kero ya ubovu wa barabara ya Majohe Dar es salaam

ebbyramadhani

Senior Member
Jan 5, 2017
101
109
Habari za weekend wakuu, Tusaidiane kufikisha Hii taarifa ya adha inayowakumba wakazi wa majohe kwa mda mrefu sana kuhusiana na ubovu wa barabara kuanzia shule ya sekondary Halisi mpaka kituo cha kwa mjeshi

Barabara hii ni mbovu mno kupelekea vyombo mbali mbali vya usafir ikiwemo usafir wa umma kushindwa kupita

Hivo kufanya magar kukatisha luti njiani kukwepa eneo ilo ambalo ni korofi sana.Wananchi wanalazimika kutembea kutoka Halisi mpaka majohe kwa mpemba ambapo ndo dalada ilipaswa kufika apo kama kawaida ya mwanzoni kabra ya adha hii Kutoka Halisi mpaka kwa mpemba kuna takriban zisizopungua 3.

Ubovu wa eneo hili unatokana barabara kutokua na mitaro na madaraja kwaajili ya kuvusha maji yanayotoka mitaani Hivo kupelekea mvua zinaponyesha eneo hili linaharibika mala kwa mala
Jitihada kubwa zinahitajika kusaidia wananchi wa majohe kuweza kutatuliwa kero hii
IMG_1075.jpeg
IMG_1076.jpeg
IMG_1072.jpeg
IMG_1070.jpeg
IMG_1075.jpeg
 
Zamani nilikuwa nakaa huku, nimehama na kupangisha nyumba, Leo nimetembelea kukagua nyumba, nashangaa niliwezaje kuishi kwenye barabara za namna hii?
 
Back
Top Bottom