luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,328
- 6,879
Mamlaka inayo husika na isimamizi wa barabara za ndani ya mji Shinyanga mtu saidie kuweka matuta katika izi barabara ili kuzuia mwendo kasi wa baadhi ya madereva wa vyombo vya moto hususani bodaboda na magari .
Kuna hii barabara ya Nkulila road yaan unakuta cruiser ya DFP, STM, STK, bodaboda wanakimbiza vyombo byao vya moto kwa zaidi ya speed 50 ambayo ndio mwisho kwa maeneo ya makazi, sasa kimsingi hii ni hatari sababu barabara hii ina pita ktk maeneo ya makazi ya watu sasa huatarisha maisha ya watembea kwa miguu husisani watoto.