Katiba Mpya ni sasa

chibuOG

Member
Apr 11, 2024
5
5
Katiba Mpya imekuwa ndo wimbo pendwa kwenye midomo ya wanasiasa wengi kwasasa kwahiyo na mie Mtanzania Mnyonge, Msaka Tonge, Niliyesoma shule ya Saint Kayumba ya Kidumu na Ufagio kisha Sekondari ya Kata naomba kwenye hiyo Katiba Mpya Kama kweli itakuja basi iwepo sheria ya kuwanyonga Mafisadi maana wametuumiza sana kama Taifa.

Kama haitakuwepo hiyo Sheria sioni haja ya Katiba mpya..
 
Back
Top Bottom