Kama Katiba Mpya haitakuwa na Sheria ya kunyonga mafisadi itakuwa haina faida yoyote Kwa watanzania

live on

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
792
1,269
Shida kubwa katika hi nchi ni ufisadi uliyokithiri Kwa watumishi wa umma

Kama kweli tunataka Tanzania mpya kupitia katiba mpya basi lazima iwekwe Sheria ya kunyonga mafisadi

Kila mwaka tutakuwa tunaangalia report ya CAG na kujua ni akina nani wanastahili kunyongwa mwaka huu

Zaidi ya hapo hiyo katiba haitakuwa na faida yoyote Kwa wananchi wa kawaida
 
Kila mwaka tutakuwa tunaangalia report ya CAG na kujua ni akina nani wanastahili kunyongwa mwaka huu
 
Back
Top Bottom