Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 16,032
- 7,446
Umenifurahisha hapo kwenye red!! Umemwaga mapointi na umeconclude kwa lipwointi vile vile!!Susuviri,
Very true that point raised.
Nd'o yaliokuwepo Kenya enzi za KANU na Moi ambapo jamaa waliendelea
na sera kama Sisiem not knowing that as time went by it became detrimental for the party.Ukitazama leo, KANU imekufa kabisa na imebaki chama cha Uhuru Kenyatta na wendawazimu wachache wanaoamini KANU itarudi back to power. Kwa hivyo CCM mwelekeo ni huo huo na sijui tuwashtue wanakiharibu
chama ama tuwaache wazame wenywe?..tatizo ni kua katika huu uzamaji
wataiburuza nchi na kutitumbukiza majini.
Simple question:Mbona hadi leo hatujaona mtu hata mmoja akipelekwa
mahakamani kujibu mashtaka ya ufisadi? Tuonacho ni tume baada ya tume na
kamati baada ya kamati.Baadhi ya kamati zinachunguza kamati.Ushawahi kumuona
mbwa akifukuza mkia wake?..nd'o haya basi!
Shukran.