Tumia huo Mmea wa pili hapo kwenye uziNajamba jamba muda wote nawakera watu kwa kunuka gesi nitumie mmea gani kuzuia kujamba jamba?
Weka vitu bana cocochanelSubiri uliowatagi waandike hayo.. napitia..
Tagi yako.. jazajaza uzi.. 🤣🤣🤣
Jiamini
Chukua Mizizi ya Mpapai chemsha changanya na maji Lita sita, Chemsha mpaka zibaki Lita Tano.Kweli mkuu hiyo mizizi unafanyaje aisee, dawa za wazungu kwanza miyeyusho mimi mpaka nibugie hizo dawa nakuwa nipo tyt hasa... Najiliag mitishamba tu...
Mkuu Kesho ni LeoDawa ya vidonda vya tumbo ninayo kesho tukumbushane ishaallah
Karibu MkuuNitakukumbusha
Karibu MkuuUzi mzuri sana
Karibu Mkuu
Sawa mkuu, haina noma, thanksChukua Mizizi ya Mpapai chemsha changanya na maji Lita sita, Chemsha mpaka zibaki Lita Tano.
Hakikisha Ndani ya siku Tatu umemaliza hizo Lita Tano.
Unaitumiaje Mkuu?.View attachment 2615288
Kush
•Inasaidia kupunguza uzito(ukitumia kush huwez kuwa mnene)
•Inapunguza uwezekano wa kupata cancer
•inatibu msongo wa mawazo
•inaongeza furaha na kucheka zaidi
•Inatibu glaucoma na kuongeza uwezo wa kuona
Ngoja niitafute hiyo mimea niipge pchaMkuu Kesho ni Leo
Haya majani hata kama mtu ameona maiti alafu inamletea wenge akijipaka usoni wenge linaisha