Kanisa la wasabato ndio pekee linalofata neno Maana halisi ya Mke wa ujana wako. Ndoa zifungwe wote mkiwa wadogo

MELEKAHE

JF-Expert Member
Nov 19, 2023
524
2,223
Makanisa mengi ya wakristo leo hasa makubwa kama RC na KKKT mafundisho yao hayafundishi umuhimu wa ndoa kwa vijana wao. Wasabato ndio waliobaki kusisitiza hilo.

Tazama picha za maharusi wao mume na mke wanavyokuwa wadogo

Screenshot_20240401-165354_Instagram.jpg

Ndoa kama hii ni rahisi kujenga bond kubwa ya upendo maana mke na mume mnapita phase zote za maisha pamoja toka ujana wenu.

Na mwanamke anakuwa kwenye fertility age muda mrefuuu.

Hata waislamu pia wanafundisha sana na kusisitiza ndoa za mapema kuepuka zinaa
 
Makanisa mengi yanafuata mfumo wa maisha unavyokwenda wakiwa na sababu ya kuogopa kukimbiwa na waumini a.k.a wananchi.

Mafundisho ya wasabato sometimes ni magumu sana na ndiyo maana yanatofautiana na hayo madhenebu mengine.

Issue ya mke wa ujana ipo kibiblia but nani afundishe peupe na wkt wa hatari?.
 
Ndoa ni msingi wa familia. Na ndoa ni msingi wa Taifa bora.

Ibada za Makanisa ziache kusisitiza Pesa na sadaka tu. Zifundishe na umuhimu wa ndoa mapema kujenga kizazi bora na kuepusha na uzinzi.

Hata waislamu wanajitahidi sana kusisitiza ndoa za mapema
Sawa ilaakina ndoa inayodumu kama za kimila.
 
Hii dunia ishavurugika, uoe mapema usioe mapema inategemea na wanaooana. Kwa mfumo wetu wa elimu mpaka kijana anafikisha miaka 27 hadi 30 wengi wanakuwa hawajasimama kimaisha ndo kwanza wanapambana na kipato cha kujikimu. Wakati huo wadada wameshatongozwa na wanaume zaidi ya 50 tangu akiwa na miaka 18, yupo anajiuliza amkubalie yupi akatoe mahali. Sasa huo uwiano wa vijana kuoana utatoka wapi!?, kama unabisha lete picha za couple 5 kama hiyo ya vijana waliooana siku moja. Hiyo ni rare case na ndoa za hivyo pia zina changamoto zake. Hiyo ni topic nyingine ndefu sana tuachane nayo.
 
Sasa hivi kijana anatoka chuo na invoice ya deni la HESLB halafu aoe ghafla ndo atajua hajui. Hali kwa sasa imebadilika mno. Cha muhimu kila mtu afanye jambo sahihi kwa muda wake sahihi. Kuna wanaooa na miaka 22 na kuna wengine 40. Kila mtu na muda wake.
 
Makanisa mengi ya wakristo leo hasa makubwa kama RC na KKKT mafundisho yao hayafundishi umuhimu wa ndoa kwa vijana wao. Wasabato ndio waliobaki kusisitiza hilo.

Tazama picha za maharusi wao mume na mke wanavyokuwa wadogo
Kila sehemu ni utaratibu waliojiwekea, kwamfano Finland vijana wanaruhusiwa kutest mitambo kabla ya kuishi pamoja lengo mtaazamane mfahamiane mkiridhika mnaoana
 
Tazama picha za maharusi wao mume na mke wanavyokuwa wadogo

Ndoa kama hii ni rahisi kujenga bond kubwa ya upendo maana mke na mume mnapita phase zote za maisha pamoja toka ujana wenu.

Na mwanamke anakuwa kwenye fertility age muda mrefuuu.

Hata waislamu pia wanafundisha sana na kusisitiza ndoa za mapema kuepuka zinaa
Ndoa za utotoni eti zinajenga bond

Bond bila pesa mwanamke lazima atoroke.bila kujali msabato au la au ana umri gani

Makanisa mengine tofauti na sabato hufunza wazi bila kificho kuwa mwanaume lazima awe na uwezo wa kiakili na kuuchumi kabla ya kuoa sababu wanajua umaskini mbaya huua upendo

When poverty comes through the door love escapes through the window
 
Makanisa mengi ya wakristo leo hasa makubwa kama RC na KKKT mafundisho yao hayafundishi umuhimu wa ndoa kwa vijana wao. Wasabato ndio waliobaki kusisitiza hilo.

Tazama picha za maharusi wao mume na mke wanavyokuwa wadogo

View attachment 2950875

Ndoa kama hii ni rahisi kujenga bond kubwa ya upendo maana mke na mume mnapita phase zote za maisha pamoja toka ujana wenu.

Na mwanamke anakuwa kwenye fertility age muda mrefuuu.

Hata waislamu pia wanafundisha sana na kusisitiza ndoa za mapema kuepuka zinaa
sasa usabato unatusaidia nini sisi tuwekee andiko na sio porojo......ulishawahi sali RC ww ukasikiliza mafundisho yao au Lutheran? ....................?na uo umri wa kuoa ni miaka mingapi na umri wa kuolewa n miaka mingap na kwenye mstari upi ndani ya biblia
 
Wasabato wako vizuri sana nawapenda wana maadili sana

Cc Smart911
Kaulize wakatoliki na walutheri kila kuchapo vijana wa kisabato wanao mabinti wa kikatoliki na kilutheri na ndoa hufungwa katoliki na Lutheran sio sabato

Vijana wengi wa kisabato wanaongoza kuoa wasichana wa kilutheri na kikatoliki hawawataki mabinti wa kisabato sababu sijajua
Ila ndhani zamani labda mabinti wa kisabato walikuwa vizuri sio sasa hivi .Mabinti wengi tu wa kisabato ma bar maid na wana grocery na mahawara wasio wasabato kibaon nk ila sabato huenda kanisani

Sidhani kama mabinti wengi wa kisabato sasa hivi ni kama Mama zao .Sidhani wanebaki tu na sauti Nyerere ya kuimba kwaya tu

Wachungaji wa Sabato wana kazi ya ziada hasa kwa mabinti wa kisabato
 
Point yangu iko kwenye usabatoni vile wana maadili sana!
Hata ukioa binti msabato umeoa jembe!

Napenda maadili yao tu Sabbaths

cc Smart911
 
Back
Top Bottom