Kanisa la Kilokole Lavunja ndoa baada ya Bibi harusi kukutwa hana Uke!

MELEKAHE

JF-Expert Member
Nov 19, 2023
487
2,111
Habari wadau,

Mchungaji wa kanisa la kilokole akitoa ushuhuda wa kilichotokea kwenye ndoa ya waumini wake. Bwana harusi na yeye anaeleza kwa urefu alichokutana nacho kwenye usiku wa kwanza wa ndoa yake.

Ndoa hiyo ilifungwa katika kanisa la Pentecostal Assemblies of God (PAG) na kuvunjwa kanisani baada ya ushahidi kuonesha tendo la ndoa haliwezi kufanyika sababu bibi harusi hana Uke wake.

Tazama video mwenyewe ujionee balaa la ndoa za "No sex before marriage".

Hahaaa mwanamke ana tundu dogo hatari apapaaa
habari wadau.

Mchungaji wa kanisa la kilokole akitoa ushuhuda wa kilichotokea kwenye ndoa ya waumini wake. Bwana harusi na yeye anaeleza kwa urefu alichokutana nacho kwenye usiku wa kwanza wa ndoa yake.

Ndoa hiyo ilifungwa katika kanisa la Pentecostal Assemblies of God (PAG) na Kuvunjwa kanisani baada ya ushahidi kuonesha tendo la ndoa haliwezi kufanyika sababu Bibi harusi hana Uke wake.

tazama video mwenyewe ujionee balaa la ndoa za No sex before marriage

View attachment 2967471
 
Ni mpumbavu kuliko. Huyu siyo mchungaji bali ni mhuni. Kna umuhimu gani wa kuelezea haya yote? Huyo msichana ni wa kusaidiwa na siyo kukebehiwa. Au pengine huu unaweza kuwa utapeli, yaani ushuhuda wa uongo!
Yani Huo ni ujinga sana, kijana anasema huyo mwanamke mpaka sasa, amekuwa kipofu, hapo inaonyesha ni namna gani huyo mwanamke anapitia shida,,( lakini wanaojiita viongozi wa dini wapo kukenua meno tu mbele ya waumini huku wakisubilia sadaka)

Kijana amesema, mke wake inaonekana wazazi wake walifanya maagano ya kichawi, inawezekana vipi wazazi hao hao waruhusu mtoto wao aolewe wakati wanajua kabisa wanamtumia kwenye mambo yao ya kibiashara ??... Hizi ni propaganda za wachungaji 🙂🙂
 
mjomba wapo watoto wanaofungwa kichawi pia swala la ndoa nio baina ya watu wawili.

muhimu kusema mchungaji kataka public intension ila kazingua kinyama.
 
Sasa wachungaji kuweni wavumili mkisikia kuna kijana kazindua albamu kabla ya idhini yenu mjue ni kukwepa matokeo haya kabla ya ndoa kufungwa. Hakuna dhambi kuzindua kama mtu umedhamaria awe mke wako anazinduliwa tu bila kizuizi, hayo mambo ya harusi yatafuata kama kuna umuhimu
 
Back
Top Bottom