#COVID19 Kampeni dhidi ya Covid -19 tiketi 10,000 kugawiwa bure

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,510
24,435
Kwa wale watakao ridhia kwa hiari chanjo ya Covid-19 kuelekea 2 November 2022 kuangalia mechi ya Young Africans vs Club Africain, tiketi 10,000 za bure wametengewa.

Hii ni maalum kuongeza ufahamu dhidi ya magonjwa kama Covid-19 na Ebola kwa kampeni kuwalenga watu wengi kuongeza ufahamu na kusambaza uelewa wa jinsi ya kujikinga.

Hii ni kujenga hamasa ya kujijengea afya bora na kujikinga na magonjwa. Mbali ya watakaochagua kupata chanjo pia bidhaa kama Kofi na jezi zitagawiwa ktk kushiriki kampeni ya kujilinda dhidi ya magonjwa ya UVIKO-19 na Ebola.

CEO Kelvin Twisa wa Jackson Group Tanzania Wataalamu wa kujenga brand / marketing, Shirika la Unicef kwa kushirikiana na wadau klabu ya Yanga kupitia rais wa klabu ya Yanga Bw. Hersi Said wameingia mkataba wa miezi 6.

Hivyo katika makubaliano baina ya Young Africans na UNICEF katika siku 5 hizi kuelekea mechi hiyo ya mpira wa miguu wa kimataifa kuwania kuigia michuano ya CAF Confederation Cup, watapita maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam kutoa somo, kudungwa chanjo ya UVIKO-19 kwa watakaoridhia, kofi, jezi na burudani .
Source : millard ayo

=========

Tanzania: Young Africans, UNICEF Sign Contract To Create COVID-19, Ebola Awareness​

UNICEF

Young Africans Club has sealed a six-month contract with the United Nations Children’s Fund (UNICEF) to promote awareness of COVID-19 vaccination and education on Ebola disease.

The Club’s President, Hersi Said disclosed this after sealing the deal in Dar es Salaam.

He said, “This is another milestone for us to partner with a renowned international humanitarian organization.
“We are known as a citizens’ team and our philosophy is to be part and parcel of problem-solving of different challenges facing community members.”

On her part, UNICEF Representative Fatimata Baladi said, “This partnership will help 25 million fans in the country to get reliable information about Covid-19 and Ebola virus to protect themselves.”

Also, the club’s Chief Executive Officer (CEO) Andre Mtine hailed the move saying it is historical for the club and will cooperate well to fulfil its objectives.

“As a club, it is our responsibility to engage in activities that have a direct impact on the lives of people.”

Source: Africanleadershipmagazine
 
Eti nikubali kuchomwa SUMU mwilini Kwa kubadilishana na burudani ya mpira ya dk 90 sababu tu ni Bure?

Nishasema, ukinipa kitu ukaniambia ni BURE tunagombana hapo hapo.😠😠
 
Eti nikubali kuchomwa SUMU mwilini Kwa kubadilishana na burudani ya mpira ya dk 90 sababu tu ni Bure???

Nishasema, ukinipa kitu ukaniambia ni BURE tunagombana hapo hapo.
Mkuu vp chanjo ya kwenye bega lako (ndui) nayo n Sumu pia?

Magufuli alikuwa Rais mzur Sana ila Kuna ujinga fulan aliwalisha baadh ya watz unatutesa hadi sasa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Aisee!!

Usumu wake upo wapi?
Usumu wake upo pale MTOA CHANJO anapokuambia Hatowajibika Kwa madhara yote yatakayosababishwa na CHANJO mfano kuganda Kwa Damu nk.

Pili RED cross wametoa taarifa kuwa yeyote ALIYECHANJA hatoruhusiwa kumchangia mtu mwingine Damu.

Swali ni je chanjo Ina nn ndani yake Hadi nizuiwe kufanya blood donation??

Tunakoelekea wasiochanja watatafutwa Kwa gharama kubwa Ili wasaidie wagonjwa Damu.

Vp hapo😠😠😠
 
Mkuu vp chanjo ya kwenye bega lako (ndui) nayo n Sumu pia?

Magufuli alikuwa Rais mzur Sana ila Kuna ujinga fulan aliwalisha baadh ya watz unatutesa hadi sasa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwamba mwandishi anahamasisha chanjo ya ndui au corona??

Magufuli aliizindua Dunia juu ya kilicho nyuma ya Chanjo na Dunia nzima inarudi kukubali alichosimamia.

He was a Prophet indeed ktk suala la chanjo ya corona.

Ameeen
 
Usumu wake upo pale MTOA CHANJO anapokuambia Hatowajibika Kwa madhara yote yatakayosababishwa na CHANJO mfano kuganda Kwa Damu nk.

Pili RED cross wametoa taarifa kuwa yeyote ALIYECHANJA hatoruhusiwa kumchangia mtu mwingine Damu.

Swali ni je chanjo Ina nn ndani yake Hadi nizuiwe kufanya blood donation??

Tunakoelekea wasiochanja watatafutwa Kwa gharama kubwa Ili wasaidie wagonjwa Damu.

Vp hapo
apo umemaliza mkuu
 
Kwa wale watakao ridhia kwa hiari chanjo ya Covid-19 kuelekea 2 November 2022 kuangalia mechi ya Young Africans vs Club Africain, tiketi 10,000 za bure wametengewa.

Hii ni maalum kuongeza ufahamu dhidi ya magonjwa kama Covid-19 na Ebola kwa kampeni kuwalenga watu wengi kuongeza ufahamu na kusambaza uelewa wa jinsi ya kujikinga.

Hii ni kujenga hamasa ya kujijengea afya bora na kujikinga na magonjwa. Mbali ya watakaochagua kupata chanjo pia bidhaa kama Kofi na jezi zitagawiwa ktk kushiriki kampeni ya kujilinda dhidi ya magonjwa ya UVIKO-19 na Ebola.

Shirika la Unicef kwa kushirikiana na wadau klabu ya Yanga katika siku 5 hizi kuelekea mechi hiyo ya mpira wa miguu wa kimataifa kuwania kuigia michuano ya CAF Confederation Cup, watapita maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam kutoa somo, kudungwa chanjo ya UVIKO-19 kwa watakaoridhia, kofi, jezi na burudani .
Source : millard ayo

African Leadership Magazine
https://www.africanleadershipmagazine.co.uk › ...
Tanzania: Young Africans, UNICEF Sign Contract To Create COVID-19 ...

23 hours ago — Young Africans Club has sealed a six-month contract with the United Nations Children's Fund (UNICEF) to promote ....

Tanzania: Young Africans, UNICEF Sign contract to Create COVID-19, Ebola Awareness​

By
Adeyiga Abisoye
-
26/10/2022
UNICEF

Young Africans Club has sealed a six-month contract with the United Nations Children’s Fund (UNICEF) to promote awareness of COVID-19 vaccination and education on Ebola disease.
The Club’s President, Hersi Said disclosed this after sealing the deal in Dar es Salaam.
He said, “This is another milestone for us to partner with a renowned international humanitarian organization.
“We are known as a citizens’ team and our philosophy is to be part and parcel of problem-solving of different challenges facing community members.”
On her part, UNICEF Representative Fatimata Baladi said, “This partnership will help 25 million fans in the country to get reliable information about Covid-19 and Ebola virus to protect themselves.”
Also, the club’s Chief Executive Officer (CEO) Andre Mtine hailed the move saying it is historical for the club and will cooperate well to fulfil its objectives.
“As a club, it is our responsibility to engage in activities that have a direct impact on the lives of people

Yanga rudisheni hizo pesa za Damu,

Mtaharibu mpira wa Tanzania.
 
Mashabiki wa simba wasomi wasingekubali hyo kaona bora awape dili mazuzu yanayoenda airport kupokea wanaume maana hayajielewi na watachanja
 
Back
Top Bottom