Tetesi: Kamati ya maadili ya CCM yamuonya Makonda, yadaiwa baada ya ile hotuba yake matusi juu ya Rais wetu yalizidi kuzunguka mitandaoni maradufu

sidhani kama balozi anaweza kuchukuwa hatua ya kumshtaki huyo mtukanaji huko marekani. Kwanza matusi yenyewe ni ya kiswahili, halafu kwa Marekani sijui kama inakwenda kwenye udhalilishaji.

Ila hawa ma IT specialists wetu hawawezi kufanya 'wikileak' style wakatoa majina ya wale wanaopeleka umbeya wa aina hiyo huko? Nadhani wakitajwa wawili watatu wengine kidogo watapiga breki.
IT specialist Tanzania hii? Hao wanachojua ni kupiga windows na ku install anti-virus tu. Halfu sasa kwenye dunia ya sasa ambayo watu wanataka uhuru wa habari na maoni kuna groups za Hacktivists kama Anonymous hao wanamdukua yoyote dunia hii kama akiingia kwenye anga zao.

Serikali nyingi na mashirika makubwa duniani zimeshalizwa na Anonymous.
 
Kupewa ONYO haufai. Maneno kama yale hayakutakiwa kutamkwa mbele ya Mhe. Rais. Angefunga safari mpaka kwa Mhe. Rais na kumueleza wakiwa wawili. Kitendo alichofanya adhabu yake siyo ONYO bali kuvuliwa cheo alichonancho.
 
Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka .
Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko mitandaoni lakini baada ya ile hotuba watu wengi walianza kufuatilia


hayo matusi dhidi ya mama huko mtandaoni,hali iliyozodi kumdhalilisha mama yetu.

Watu wengi hawakujua kinachoendelea ni mpaka alipowaamsha .

Inasemekana hata mama hakupendelea ile hotuba itolewe mbele yake maana ilikuwa ni kumdhalilisha Rais badala ya kumlindia heshima yake.

Umuhimu wa Elimu isiyo na makandokando unaonekana sasa

Inasemekana …… dah

Ukisikia hilo neno , run the other way
 
Back
Top Bottom