Kamanda Mambosasa: Mpaka sasa hakuna Mbunge aliyeripoti kufuatia agizo la Makonda

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa amesema kuwa, mpaka sasa hivi hakuna mbunge yeyote aliyeripoti kwenye ofisi ya mpelelezi wa kanda hiyo, kutokana na kukiuka kwa agizo la Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. Paul Makonda, aliyewapa masaa 24 kurudi Bungeni.

======

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa amesema kuwa mpaka sasa hivi hakuna Mbunge yeyote aliyeripoti kwenye ofisi ya Mpelelezi wa kanda hiyo, kutokana na kukiuka kwa agizo la Mkuu wa Mkoa huo Paul Makonda, aliyewapa masaa 24 kurudi Bungeni.

Kamanda Mambosasa ameyabainisha hayo leo Mei 9, 2020, wakati akizungumza na EATV&EA Radio Digital, ilipotaka kufahamu kama kuna Mbunge yeyote aliyeripoti kwa hiyari yake kama ambavyo Jeshi la Polisi lilivyoagiza siku ya Mei 7.

"Hakuna hata mmoja aliyeripoti, inawezekana hawapo Dar es Salaam na ndiyo maana nilisema kama kuna yeyote bado yupo, na hakuna aliyepatikana pia, hatujawasaka lakini ule ulikuwa ni wito" amesema Kamanda Mambosasa.

Hivi karibuni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alitoa masaa 24 kwa Wabunge ambao wako Jijini humo, waondoke na kurejea Dodoma kuendelea na shughuli zao za Bunge na atakayekaidi basi atakamatwa kwa kosa la uzururaji kama wanavyokamatwa machangudoa nyakati za usiku.

Chanzo: EATV

Wanataka wawapake corona? Uchawi siyo mbaya uruke na ungo.
 
Nilisema
 
kosa gani wamefanya? Watanzania tusiwe wajinga hivo, huo ni upuuzi mkubwa, mtawapeleka mahakani kwa kosa gani? ni kupoteza muda na rasilimali za umma tu

Tunatia aibu sana mkuu na ndio maana majirani zetu wanatudharau sana
 
Wamekiri wapi? Weka ushahidi hapa!
20200509_121742.jpeg
 
Polisi wa rank ya mambosasa nilitegemea wana uelewa wa Sheria. Mkuu wa mkoa kusimamia maswala ya wabunge yanaongozwa na kifungu gani cha Sheria? Mambo haya yanavuja mipaka ya nchi na kwa dunia ya wastaarabu na utawala bora mbona mnaivua nchi nguo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa amesema kuwa, mpaka sasa hivi hakuna mbunge yeyote aliyeripoti kwenye ofisi ya mpelelezi wa kanda hiyo, kutokana na kukiuka kwa agizo la Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. Paul Makonda, aliyewapa masaa 24 kurudi Bungeni.

======

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa amesema kuwa mpaka sasa hivi hakuna Mbunge yeyote aliyeripoti kwenye ofisi ya Mpelelezi wa kanda hiyo, kutokana na kukiuka kwa agizo la Mkuu wa Mkoa huo Paul Makonda, aliyewapa masaa 24 kurudi Bungeni.

Kamanda Mambosasa ameyabainisha hayo leo Mei 9, 2020, wakati akizungumza na EATV&EA Radio Digital, ilipotaka kufahamu kama kuna Mbunge yeyote aliyeripoti kwa hiyari yake kama ambavyo Jeshi la Polisi lilivyoagiza siku ya Mei 7.

"Hakuna hata mmoja aliyeripoti, inawezekana hawapo Dar es Salaam na ndiyo maana nilisema kama kuna yeyote bado yupo, na hakuna aliyepatikana pia, hatujawasaka lakini ule ulikuwa ni wito" amesema Kamanda Mambosasa.

Hivi karibuni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alitoa masaa 24 kwa Wabunge ambao wako Jijini humo, waondoke na kurejea Dodoma kuendelea na shughuli zao za Bunge na atakayekaidi basi atakamatwa kwa kosa la uzururaji kama wanavyokamatwa machangudoa nyakati za usiku.

Chanzo: EATV
Mambosasa alitegemea wajitokeze kuitikia wito batili? Kweli hamnazo!
 
Back
Top Bottom