Kama tu French Revolution ya 1789 ilitokana na Bei ya Mkate kupanda hata Kwingineko Tozo, Mgawo wa Maji na Umeme unaweza Kuivuruga nchi

#Balot or bullet
3740618-Malcolm-X-Quote-You-don-t-have-a-revolution-in-which-you-love-your.jpg
 
Endeleeni tu kufanya Masihara na mkiwa na muda naombeni jikumbusheni na History nzuri na tamu (ambayo GENTAMYCINE hupenda Kuisoma kila wakati) ya '1789 French Revolution' ya ili muone Bomu ambalo mnalitega kutokana na Ujuha wenu na ambalo haliko mbali Kulipuka.
Mpumbavu huwa hasomi historia na hata akisoma huwa hajifunzi lolote huamini kitu kikubwa ni kuweka historia yake hivyo hujikuta amerudia makosa ya kihistoria ...wako bize wanalamba asali na kutumbia kama mkate hatuna tule keki
 
Huko Dar, Arusha, Mwanza na Majiji mengne ilibidi mufe wote maana hiyo mikoa Haina wanamageuzi ..
Mavuguvugu Mara zote huanza mjini Sasa Nyie mmegeukka kuwa vilaza ....

Nazidi kumuomba Mungu mmpigwe na Jua Kali na maji yasitolewe kabisa ...na Umeme ukatike kabisa ikiwezekana
Mpate umeme Mara moja tu kwa wiki ...Mbwa Nyie.....

Serikali imekuwa ikitukamua sana sisi wa vijjini na kupeleka favour zote mjini...Mungu azidi kuwapa dhoruba ili akili iwakae sawa..

Ni hayo tu.
 
Endeleeni tu kufanya Masihara na mkiwa na muda naombeni jikumbusheni na History nzuri na tamu (ambayo GENTAMYCINE hupenda Kuisoma kila wakati) ya '1789 French Revolution' ya ili muone Bomu ambalo mnalitega kutokana na Ujuha wenu na ambalo haliko mbali Kulipuka.
Mkuu kama bado hujapata kifungua kinywa

Chagua hotel yoyote nzuri bill itakuwa juu yangu
 
Endeleeni tu kufanya Masihara na mkiwa na muda naombeni jikumbusheni na History nzuri na tamu (ambayo GENTAMYCINE hupenda Kuisoma kila wakati) ya '1789 French Revolution' ya ili muone Bomu ambalo mnalitega kutokana na Ujuha wenu na ambalo haliko mbali Kulipuka.
Nenda Front sio jf au nenda kaandike Facebook huku jf unapoteza mda wako bure memba na wasomaji hawafiki hata 100k..

Na achana na mifano ya mbali wewe popoma toa kabisa mfano wa Sudani kwa Al Bashir ilikuwa Ni mkate tuu akasepeshwa ila Kuna watu walitoka front..

Na wewe nenda front uone Moto popoma mkubwa ukikna umepuuzwa ujue Ni njaa zako binafsi.
 
Huko Dar, Arusha ,Mwanza na Majiji mengne ilibidi mufe wote maana hiyo mikoa Haina wanamageuzi ..
Mavuguvugu Mara zote huanza mjini Sasa Nyie mmegeukka kuwa vilaza ...
Unfortunately hizo shida zitawapata watu wa Dar tuu sir wengine wa mikoani tuache kulima tuje kujiunga na ujinga wenu..

Kama huna Pesa za kuishi Mjini nenda kijijini vinginevyo utalalamika kuanzia January to disemba Hadi 2030.
 
Nenda Front sio jf au nenda kaandike Facebook huku jf unapoteza mda wako bure memba na wasomaji hawafiki hata 100k..

Na achana na mifano ya mbali wewe popoma toa kabisa mfano wa Sudani kwa Al Bashir ilikuwa Ni mkate tuu akasepeshwa ila Kuna watu walitoka front..

Na wewe nenda front uone Moto popoma mkubwa ukikna umepuuzwa ujue Ni njaa zako binafsi.
Empty set
 
Endeleeni tu kufanya Masihara na mkiwa na muda naombeni jikumbusheni na History nzuri na tamu (ambayo GENTAMYCINE hupenda Kuisoma kila wakati) ya '1789 French Revolution' ya ili muone Bomu ambalo mnalitega kutokana na Ujuha wenu na ambalo haliko mbali Kulipuka.
These guys [our leaders] can't feel anything cause our taxes feeds tham and they earn from it also. Tha gap between them a d us is too big. They pass on the same road we use but we stopped to let them pass, are they gods?
 
Endeleeni tu kufanya Masihara na mkiwa na muda naombeni jikumbusheni na History nzuri na tamu (ambayo GENTAMYCINE hupenda Kuisoma kila wakati) ya '1789 French Revolution' ya ili muone Bomu ambalo mnalitega kutokana na Ujuha wenu na ambalo haliko mbali Kulipuka.
Kazi ya mwenge ni kuwapumbaza akili zenu.
 
Endeleeni tu kufanya Masihara na mkiwa na muda naombeni jikumbusheni na History nzuri na tamu (ambayo GENTAMYCINE hupenda Kuisoma kila wakati) ya '1789 French Revolution' ya ili muone Bomu ambalo mnalitega kutokana na Ujuha wenu na ambalo haliko mbali Kulipuka.
Tunamhitaji Maximilien Robespierre,Danton,nk kuweza kufanikisha Hilo zoezi.
 
Nenda fb usijifiche huku jf Hakuna watu..

Ona hizi takwimu hapa za Tanzania ukiikuta jf nitag hii Ni kwa kukusaidia maana nyie Ni aidha waoga au Ni mapopoma tuu sijui mnataka Nani atangulie 👇

View attachment 2419958View attachment 2419959
Sasa kama unajua Mtandao huu wa JamiiForums Kwako hauna Umuhimu na haukubaliki na Wengi kama ulivyokuja na hizi References zako inakuwaje upo nasi hapa tena hadi unapoteza na muda wako Kuchangia mpaka hata Kujadili Mada mbalimbali hapa.

Pumbavu.
 
Endeleeni tu kufanya Masihara na mkiwa na muda naombeni jikumbusheni na History nzuri na tamu (ambayo GENTAMYCINE hupenda Kuisoma kila wakati) ya '1789 French Revolution' ya ili muone Bomu ambalo mnalitega kutokana na Ujuha wenu na ambalo haliko mbali Kulipuka.
Pumba
 
Alafu anakuja mtu anawaambia watu wa Dar wanapenda kulalamika!
 
Endeleeni tu kufanya Masihara na mkiwa na muda naombeni jikumbusheni na History nzuri na tamu (ambayo GENTAMYCINE hupenda Kuisoma kila wakati) ya '1789 French Revolution' ya ili muone Bomu ambalo mnalitega kutokana na Ujuha wenu na ambalo haliko mbali Kulipuka.
Nikweli lakini umeenda mbali kutufananishia na ufaransa

Pamoja na Mambo mengne yote Bashir wa darful Yuko gerezani hadileo lakini kilichopelekea yote kupanda kwa mkate Bei
 
Back
Top Bottom