Kama ilivyokuwa kwa Membe kutokudhuria pia Bashiru, mke wa Magufuli na wengine wengi hawajahudhuria

Suzy Elias

JF-Expert Member
Nov 9, 2021
1,067
6,195
Membe hakupata kuhudhuria wala kumlilia Magufuli kwenye kifo chake jambo ambalo mke wa Magufuli naye hajafanya kuhusu kifo cha Membe.

Ikumbukwe, wanazi wote wa upande wa Membe hawakuhudhuria ima ibada ama kuagwa kwa JPM vivyo hivyo wanazi wa JPM ukimwondoa (double agent Makonda) hawajajishughulisha kwalo.

Wapi Bashiru na yake jamaa Polepole?!

Funzo:

Malipo ni hapa hapa Duniani.
 
Kifo SI sawa na sherehe ya send-off party kuwa itafanyika mnamo,hakina taarifa.
 
Sasa kwani hatazikwa Tena ameagwa na wazito wengi sembuse hao vidagaa, pamchoyo Po mmabelu mwee
Kuna wazito wameenda kuhakikisha kama kweli amekufa gusa ninuke kachero mbobezi
Maana walidhani yeye hatakufa.

Bado makamba pia wanasubuli kuhakikisha hilo.

Cha kumshauli siku ya kifo chake ajifiche tu au aruke aende kwa watakatifu na maneno yake yatapata uhalali.
 
Membe hakupata kuhudhuria wala kumlilia Magufuli kwenye kifo chake jambo ambalo mke wa Magufuli naye hajafanya kuhusu kifo cha Membe.

Ikumbukwe, wanazi wote wa upande wa Membe hawakuhudhuria ima ibada ama kuagwa kwa JPM vivyo hivyo wanazi wa JPM ukimwondoa (double agent Makonda) hawajajishughulisha kwalo.

Wapi Bashiru na yake jamaa Polepole?!

Funzo:

Malipo ni hapa hapa Duniani.
Hata sie raia wa Magufuli hatujahudhuria. Tupo bize na shughuli zetu za kila siku.
 
Membe hakupata kuhudhuria wala kumlilia Magufuli kwenye kifo chake jambo ambalo mke wa Magufuli naye hajafanya kuhusu kifo cha Membe.

Ikumbukwe, wanazi wote wa upande wa Membe hawakuhudhuria ima ibada ama kuagwa kwa JPM vivyo hivyo wanazi wa JPM ukimwondoa (double agent Makonda) hawajajishughulisha kwalo.

Wapi Bashiru na yake jamaa Polepole?!

Funzo:

Malipo ni hapa hapa Duniani.
Wamelipwa ujira wao,kama noma na iwe noma
 
Membe hakupata kuhudhuria wala kumlilia Magufuli kwenye kifo chake jambo ambalo mke wa Magufuli naye hajafanya kuhusu kifo cha Membe.

Ikumbukwe, wanazi wote wa upande wa Membe hawakuhudhuria ima ibada ama kuagwa kwa JPM vivyo hivyo wanazi wa JPM ukimwondoa (double agent Makonda) hawajajishughulisha kwalo.

Wapi Bashiru na yake jamaa Polepole?!

Funzo:

Malipo ni hapa hapa Duniani.
Nimependa tu ulivyotumia either or ya Kiswahili yani ima ama. Waswahili wengi siku hizi utakuta wanasema eidha ama, mmebaki wachache mnaotumia ima ama

Wanalazimisha kutohoa either ya Kingereza, hii inaleta athari ya lugha maana kwenye Kiswahili kuna neno lengine liitwalo 'aidha' ambalo lina maana tofauti na either ya kizungu aidha ya Kiswahili linamaanisha sawa na kusema 'pia kwa upande mwengine'
Mfano: Rais amekemea mmomonyoko wa maadili, aidha, ameomba viongozi wa dini waelimeshe jamii juu ya maadili mema
 
Membe hakupata kuhudhuria wala kumlilia Magufuli kwenye kifo chake jambo ambalo mke wa Magufuli naye hajafanya kuhusu kifo cha Membe.

Ikumbukwe, wanazi wote wa upande wa Membe hawakuhudhuria ima ibada ama kuagwa kwa JPM vivyo hivyo wanazi wa JPM ukimwondoa (double agent Makonda) hawajajishughulisha kwalo.

Wapi Bashiru na yake jamaa Polepole?!

Funzo:

Malipo ni hapa hapa Duniani.
Si wote wanaoshindwa kuhudhuria misiba wanakuwa na chuki na marehemu. Wengine huwa wana mambo yanayowazuia wasifike kwenye msiba.

Kwanza mke wa Magufuli siyo mtu anayependa attention. Na kwa vile yeye na mke wa Membe wapo kwenye lile group lao, si ajabu mama wa watu akaenda kumwona na kumpa pole mjane mwenzie kimya kimya, nafasi itakaporuhusu.

Tusipende kutafuta sababu kwa kila jambo. Wapo ndugu ambao wanashindwa kuhudhuria misiba mpaka ya wazazi wao kutokana na sababu mbalimbali.
 
Back
Top Bottom