Jumapili ya leo, tarehe 5,May, M23 yatoa tangazo.

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,176
2,865
Huyu amejiita,'Bertrand Bisimwa',kiongozi wa M23,na makamu kiongozi wa AFC ambayo inaongozwa na Cornell Nanga,ambaye ni Political Coordinator na Sultan Makenga ambaye ndie kiomgozi mkuu wa Jeshi la M23.
Kwa niaba ya Cornell Nanga na Sultan Makenga anatoa tangazo hili:
"Ndugu wananchi wa Congo mliokimbia vita na kwenda kwenye kambi za wakimbizi maeneo ya Goma,poleni kwa taabu mnazopata.
Tungependa kusema kwamba sisi,M23 hatuianzisha hii vita. Ni yule Bwana Tshisekedi ndiye ameanzisha hii vita. Sisi tunapigana tu kujilinda.
Tunaona madhila mnayopata,na tumesikia kilio chenu cha jana,kwamba wengi wenu mngependa kurudi katika miji na vijiji mlikotoka.
Sisi tumekuwa kila siku watu wanaorudi kwenye makazi yao.
Lakini,nataka sasa hii ndio iwe Official Announcement,tangazo letu rasmi,kwamba M23 inawakaribisha wote wanaotaka kurudi. Na kwa ajili hii,tumeweka magari ya kutosha kwa wote wanaotaka kurudi. Tumeweka magari yetu Kibumba,na maeneo ya Kimoka.
Kwa hiyo mnaweza kurudi. Huku katika haya maeneo tulipo hali ni salama,watu wanaendelea na kazi,na,huku ipo Administration,ukipata shida yoyote utasaidiwa.
Kwa hiyo ondokeni katika hizo sehemu zinazoshikiliwa na FADC na majeshi ra Burundi na majeshi ya hao mercenaries.( nadhani ' mercenaries' ndiyo majeshi ya Tanzania na South Africa na Malawi).
Halafu,tazameni. Hayo majeshi yanawatumia nyinyi kama human shield. Yanaweka silaha zao kwenye hizo kambi zenu na kutushambulia sisi M23. Tukijibu mapigo shambulizi lilipotokea,tunalaumiwa tumewapiga raia.
Kwa hiyo,ondokeni hapo karibuni nyumbani.
Tunawatakia kurudi kwema.
Asanteni sana"
Hili ndilo tangazo la M23
 
Baada ya america kuwashutumu M23 na Rwanda wanajikosha kwa ulimwengu!
 
Eti mtu akapande gari yao si ndio unakua mateka wao.

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Trying kuwachota wakimbizi. Hiki kikundi kinadekezwa sana, EA majeshi yote yakiungana kuwa wipe hawa jamaa wanakwisha
 
Nao wanataka kuwatumia kama human shield 🛡

Kukaa katika makambi kuna rahisisha kuwapata hawa watu kwa kuwa kila utakayemkuta mtaani unampa za uso ni m23

Raia wakirejea kujichanganya na hawa Vita inakuwa ngumu
 
Nawaza sana,hivi ni kweli wameshindikana hao jamaa kiasi kwamba wameamua kuweka mpaka magari yao kwaajili yakusomba watu
 
Hawa ni moja kati ya siraha za Marekani kuvuruga usalama wa DRC...

Hiki kikundi TZ pekee anaweza kukiondoa ndani ya mda mfupi tu ila sasa....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom