Jumanne naenda kumuangalia rafiki yangu jela nini vya kuzingatia?

Jamaa yangu namjua, tumecheza football pamoja, nae nasikia kafungwa maisha, kesi ni hiyo kumlawiti mtoto, japo kuna dalili zote za kusingiziwa(siwezi hukumu)
Dalili.
Huyo binti alikowahi kuishi kaishawashitaki watu kama wawili hivi kwa keai hiyo hiyo, ni anadai waimalize pembeni, apewe hela ndio maisha yake.

Mtu na Mme wake ndio wamempa hiyo kesi kuwa mtoto wao ndio amelawitiwa

Sema wakubwa walienda kuongea nao wawape pesa wakafute kesi wakakataa, wamekataa tena waliambiwa waseme wanataka pesa ngapi! Ili wakafute kesi wamekataa

Sasa sijue kwa nini? Wamekataa najiuliza kuwa jamaa amefanya kweli? Ndio maana wamekataa au imekuaje na inakuaje wamekataa pesa

Ila Kwa kweli tunampambania na ujeur wake jamaa na alituma barua ya kuomba msamaha kwa wabongo wote wa kitongoji hiki
 
Chief

Tatzo yupo jela ila akipata nafasi ya kulipia sim anatuma sms mtaani na kuniponda na wakati manzi wake akiwa anaenda kumchek jela kila kitu nalipa mimi, nampa nauli na pesa aweke mfukoni tatzo langu siendagi tu kumuona na ni kwa sababu

Sasa tangu atume sms nyumbani za kuniponda nimekata kumpa pesa, demu wake akija namwambia sina pesa so kapata nafasi ya kuongea na demu wake kamwambia kuwa jamaa anipi pesa sasa hivi ndio kakasirika na ananitumia sms za matusi

Cha ajabu alivyokamatwa alikuwa na pesa nyingi kamuachia Baba mwenye nyumba wake na akamdhulumu alisema hajaachiwa pesa yeyote,wakati iliwezekana kuwaambia polisi nna pesa nataka nimpelekee rafiki yangu, polisi wa huku hawana noma wangekubali tu pesa ingemsaidia yeye mwenyewe

Naenda nampelekea pesa na kumpa makavu yake huko huko jela
Sasa kwa nini unasumbuka naye?

Kwa nini unasema unataka kwenda kumuona jela?

Kwa nini usim block kabisa hata sms zake usipate?
 
Sasa kwa nini unasumbuka naye?

Kwa nini unasema unataka kwenda kumuona jela?

Kwa nini usim block kabisa hata sms zake usipate?

Naenda kumchana kwanza maana anataka kunizoea na anamuacha brother wake wa kupishana baba na dada na yupo hapa hapa najitahidi naumia na ananiletea dharau sasa ngoja nikamuonyeshe ujeuri kama anajitia kiburi
 
Aah, basi wewe unapenda huo ujinga wa kubishana.

Sawasawa, nenda kajibizane naye, akikupa stress zisizo na msingi unastahili.
 
Aah, basi wewe unapenda huo ujinga wa kubishana.

Sawasawa, nenda kajibizane naye, akikupa stress zisizo na msingi unastahili.

Mkuu

Hapa ndio ananipa stress ila nikienda kumchana nafikiri ndio nitaondoa hasira zangu nilizozifundika kichwani, na zitaisha ila najua naniwestia tu mda wangu sema sina budi maana naua siku nzima yaani kufunga safar kwenye kumchek mtu mjinga mmoja tu
 
Huko mtaenda kupandishiana wewe utamzidishia stress na yeye atakuzidishia stress.

Mwenzako yuko jela ujue, kitu kidogo tu kitam trigger.
 
Na hapo umetoka upo kwenye nchi za watu upo hivi je usingetoka? Shukuru sana

Najua umeona stress tu kwenye huo mwandiko na kweli stress nnazo kweli Chief

Tumeumbwa tuje? Duniani sio nje za nchi so kwangu mtu kuwa nje ya nchi sio inshu wala nini? Kikubwa upo duniani tu unajua kitu fulani au haujui sio inshu tena tunaishi na kuishia chief kikubwa kuheshimiana tu

Usimchekee mtu ambaye anayaka ufe na njaa, muonyeshe kuwa njaa hauitaki kwa kukaa naye mbali
 
Punguza kujielezea mkuu, sijakuelewa.
 
Unalima nini nije na mimi
Usimpe hela kinyemela/kwa kificho huwa ni kosa kubwa sanaaaaaa.Uliza wenyeji then watakuelekeza vitu vya kwenda navyo halali.Msaidie kwa kufikisha taarifa ubalozini ili atoke arudi Tanzania.

Mimi nipo Tandahimba nalima maisha yanaenda
 
Najua umeona stress tu kwenye huo mwandiko na kweli stress nnazo kweli Chief

Tumeumbwa tuje? Duniani sio nje za nchi so kwangu mtu kuwa nje ya nchi sio inshu wala nini? Kikubwa upo duniani tu unajua kitu fulani au haujui sio inshu tena tunaishi na kuishia chief kikubwa kuheshimiana tu

Usimchekee mtu ambaye anayaka ufe na njaa, muonyeshe kuwa njaa hauitaki kwa kukaa naye mbali
""Usimchekee mtu ambaye anataka ufe na njaa, muonyeshe kuwa njaa hauitaki kwa kukaa naye mbali"""

Hapa mkuu umeongea point.
An hii nimeichukua mazima itakua akilini kwangu maisha yote respect 👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊
 
Yote hayo uliyo andika...ni kutaka kwenda kumuona jela au....maana unamponda sana...sasa unataka kwenda kumsanifu huku jela au
.kama.vipi usiende.
 
Back
Top Bottom