Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,036
- 1,665
Kupitia akaunti yake katika Mtandao wa Instagram, Mwanamuziki Juma Nature amepost Video akizungumzia suala la Ulinzi Shirikishi maarufu kama Sungusungu au Makamanda na Usalama wa Mitaani
Nature amehoji kuwa kwanini licha ya Wananchi kuchangishwa fedha za Ulinzi, bado vitendo vya Wizi wa Mitaani vinaendelea?
Aidha ametoa wito kwa Serikali kutoa Vitambulisho au Sare maalumu kwa vikundi vya Ulinzi Shirikishi ili kuwatambulisha akitoa mfano wa wapo Watu wanaojifanya kuwa Askari ambao hukaba na kuiba