Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Siyo kuizungumzia tu. Kwenye simulizi zake za maisha yake pale haionyeshi popote kama familia yake ilikuwwpo pale.

Nyinyi ndio mnao direct bongomovie,mnaonesha mtu anaenda kuoga, anajifuta maji, anavaa, anafunga kamba kiatu, anatoka, anawasha gari gari inatembea dakika kumi anafika ofisini ..

Family haiko katika muonekano wa script bado inaweza kuja kuonekana mbeleni huko
 
Back
Top Bottom