Jinsi ambavyo laki tano inakwenda kunipa mshahara wa laki sita kwa mwezi

Mar 21, 2024
23
118
Salamu wakuu, mm ni Kijana hivi sasa nipo chuo kikuu, mwaka wa tatu. Kutokana na ugumu wa ajira nime serve laki tano ambayo inakwenda kunipa maisha mtaaani kama ifuatavyo.

Kwanza, nitatafuta vijana watatu ambao takuwa na walipa kazi yao itakuwa kutembeza chai na vitafunwa kama mandazi na chapati, hasa katika maeneo yenye mkusanyiko Mkumbwa wa watu, ambapo Kila kijana kwa siku Tampa mzigo wa elfu taboy( yaani chai na vitafunwa Kwa Kila kijana vitakuwa na gharama ya elfu tano.hii ina maana Kuwa kwa siku takuwa na collect elfu kumi na tano Toka kwa hao vijana kama mambo ya takuwa sawa.

Pili, nyumbani ni jijini Dodoma nakwenda kuanza kilimo Cha mbogamboga ambapo taanza kuwa supplier wa hizo mbogamboga kwenye ma hotel, restaurant na mama ntillie yaaani tachukua oda ya kuwapelekea mbogamboga kwenye sehemu zao za kazi, hii takuwa na fanya wakati wa asubuhi. Ambapo sasa wakati wa jioni takuwa na pita nyumba kwa nyumba natembeza mbogamboga. Kupitia hii kwa siku na kadiria kuingiza elfu kumi.

Hivyo basi, jumla na kadiria kuingiza elfu ishirini na tano kwa siku, ndani ya siku sita ni laki na nusu kwa wiki nne ni laki sita.
 
Weeewe! Ungekuwa unaamini kutoka moyoni hiyo story unayotuletea itafanyakazi ungekaa kimya! Hizo zote porojo na wewe bado saana! Wazo la biashara inayolipa ni siri ya mtu!
 
Mliosoma hadi mwisho mnaweza nisaidia summary....maana mda mwalimu anafundisha mi nlipewa adhabu ya kuchimba shimo la taka
Oky kwa kufufupisha huyu dogo anasoma.lakini anataka ajiongeze kwa kufaanya biashara kwa mtaji wa Tsh 500k.. bishara hizo ni
1. Kuuza vitafunwa na chai
2. Kuuza mboga mboga
Location yake dodoma
 
Back
Top Bottom