Walker Water
JF-Expert Member
- Aug 23, 2022
- 806
- 3,016
- Thread starter
- #2,321
Hizi ni nyakati za mwisho ndugu yangu,unaweza kuona upako wako umekata kabisa ukashangaa kumbe ni ujumbe unapewa kuwa uachane na huo wa zamani ili upewe mpya utakao kufungua milango yako yote ya rohoniUpako wa kuendana na nyakati hizi nini mtumishi wa Mungu?