Jifunze kuhusiana na sarafu hii Pi

Village-in

JF-Expert Member
Aug 30, 2022
1,722
3,412
Habari humu JF?. Dunia inaenda na wakati kwa kila Jambo. Basi hata maswala ya kifedha pia kutakuwa na mabadiriko makubwa. Siku si nyingi dunia itahamia kwenye matumizi ya sarafu kidigital. Yaani matumizi ya pesa cash yatakuwa kwa mbali sana.

Kitambo kidogo tutahamia sarafu mtandaoni. Japo mpaka sasa kimya kimya wapo watu wanapiga hela kupitia sarafu mtandaoni. Mfano Bitcoin ilianza kwa watu wengine kuogopa ku-mine. Kuhofia mambo ya labda utaperi. Lakini kwa sasa imekuwa ndio sarafu yenye gharama kubwa. Sarafu mtandaoni mpaka sasa inaiporomosha kwa kasi Naira ya Nigeria.

Kuna sarafu nyingi zimezinduliwa. Lakini ipo inayokuja kwa kasi na wanzishaji wake wanafuata utaratibu ambao uko wazi. Pi.

Pi ni nini

Pi ni sarafu mpya ya kidigitali ambayo unaweza kuipata kupitia simu yako ya mkononi.

Kwa sasa sarafu hii inapatikana bure. Inatolewa bure ili kuieneza kwa watu wengi zaidi. Kwa hiyo ipo katika kipindi cha kutafuta watumiaji wengi zaidi wa sarafu hii duniani kote.

.Kwa kawaida kila sarafu ya kidigitali inapoanza hutolewa bure kabisa, lengo ikiwa ni kupata jamii kubwa ( kupata watumiaji wengi).

*Nanufaika vipi na sarafu hii ya Pi?

Pi ni Fedha kama Fedha zingine.
Isipokuwa kwa sasa fedha hii bado haijazinduliwa rasmi, inazindiliwa ndani ya mwaka huu 2024. Ndipo itaanza kutumika rasmi duniani kote kwa Manunuzi.

Thamani ya Pi 1 ambayo imepitishwa duniani kote (GCV) ni 1Pi = dollar 314,159. Kwa maana ya Pi moja kuwa na kuwa na thamani ya zaidi ya milioni 786 za Tanzania. Thamani hiyo ndiyo inatazamiwa kutumika pi itakapozinduliwa rasmi.

(1) Utaipata sarafu hii kwa kufungua Account ya pi na kuichimba (mining) mara moja kila baada ya masaa 24.

(2) Unaweza kuipata sarafu hii kwa kualika wengine pia.

(3) Utaipata sarafu hii kwa kuwa Ambassador wa pi.

(4) Utaipata sarafu hii kwa kuimarisha security circle ya account yako.

Karibuni kwa maswali na yoyote anaetaka kujua au kujiunga na huu mradi wa Pi.

ANGALIZO. Hii pi ni tofauti na Forex au exchanges zingine zenye kulipia. Huu mradi ni bure.

Najua kuna watu watakuja kwa kejeri. Na wengine kuhisi mtu anaenda kutaperiwa. Huu mradi haulazimishi mtu,ila huko mbele ndio utajua umepishana na fursa. Ksbb mpaka sasa kujiunga ni bure tu hata kumine ni bure tu. Hakuna popote utadaiwa chochote na yoyote.

Ndugu zangu huu mradi unatembea kwa kasi sana duniani. Huko mbele ni fursa. Kumbuka Bitcoin ilivyokimbiwa huko wakati inaanza. Hivi sasa ni hot cake.

Kujiunga ni lazima ufuate utaratibu wa kujiunga kwa mtu aliekupa taarifa. Kwa yoyote atakaependa kujiunga nitampatia link ya kujoin pia na magroup ya what'sup ya Pi Tanzania kwa ajili ya kujifunza na kuendelea na mradi.
KARIBUNI
 
KARIBUN
Nipo hapa mkuu.... 0762910404
 
Pamoja mkuu ila imeporomoka kwa sasa sana nikuwanayo ikiwa inaanza nikadharau ila nimeirudia nipi nachimba.
 
Hiyo pi inazingua sana,zimekuja renec,ice,avive,eagle n.k zimeikuta pi na zimekuwa listed,hiyo pi miaka na miaka mpaka leo story tu,hamna kitu.

Hata ikienda mainnet haitakuwa thamani
 
Bado sijaikatia tamaa
Screenshot_20240414_141803_Pi.jpg
 
Back
Top Bottom