Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,084
- 8,499
Maneno haya jamani
Jiroge uone
Jiroge uone
Ni busara kumtafuta engineer yeye ndio akasimamia kazi yako..na yeye ndio unaweza muachia jukumu la kukutafutia fundi mzuri..client wengi hawana uelewa na ujenzi hivyo wanapaswa kuongozwa na wataalamu ujenzi.Wengi wanaogopa sana kujenga ghorofa wakizani labda mpaka uwe na pesa nyingi ndio ujenge. Ukiamua hakuna kinachoshindikana, kama umeweza kujenga nyumba ya chini,jua una uwezo pia wa kujenga ghorofa. Fanya yafuatayo kutimiza ndoto zako:-
- Weka kwenye michoro wazo la nyumba yako (jichoree mwenyewe unavyotaka)
- Tafuta injinia akuandalie BOQ (idadi ya matirio yatakayotumika),michoro, na ramani
- Tafuta kibali cha ujenzi- itategemea na eneo uliopo
- Anza kununua mawe, kokoto nyeusi, mchanga, matofari ya kuanzia, nondo. simenti-kwa ajili ya msingi
- Nenda maeneo yanapojengwa magorofa, na umchukue fundi unayemuona anapiga kazi
- Ingia makubaliano na huyo fundi-akupatie gharama ya msingi, ikiwezekana mkubaliane kwa siku.
- Anza kazi ya msingi.
- Weka rafu/ zege kwenye msingi
- Anza kupandisha nguzo na tofali kwa awamu awamu kutokana na mzunguko wako wa pesa- unaweza kumtumia yule fundi wa mwanzo au ukatafuta mwingine
- Ukifika kwenye lenta-inabidi upumzike
- Anza kukusanya nondo,kokoto nyeusi, simenti,misumari
- Angalia pa kukodi 'plate' au 'marine board',kwa siku gharama yake huwa ni sh. 400/= kwa moja, pia kukodi mirunda, mbao; inategemea na sehemu ulipo.
- Mwite fundi kwa kazi ya 'slab'- hapa ndipo huwa pagumu sana kwenye ghorofa
- Akishamaliza slab, pumzika utafute nguvu
- Endelea na ujenzi wa juu
- Paua mjengo wako
- Endelea na hatua zingine za 'finishing'
- Baada ya hapo jipongeze....kwa kutembelea mbuga za wanyama
Tafuta mtaalamu wa michoro na ramani, inaweza isizidi laki 2; baada ya hapo nenda halmashauri/manispaa kwa ajili ya kibali, haitazidi laki 2.. baada ya hapo nunua malighafiNatamani Kuja Kujenga Ghorofa Hata Ya Flow Moja Ila Iwe Standard Sio Ili mradi....
Changamoto niliyo nayo ni nitaanzia wapi?kwa sababu wanatoa conditions gani ili upewe building permit ya ghorofa
Structural engineer hadi laki 8 laki 2 hawa wa mtaani napo mmmh ngumu sanaTafuta mtaalamu wa michoro na ramani, inaweza isizidi laki 2; baada ya hapo nenda halmashauri/manispaa kwa ajili ya kibali, haitazidi laki 2.. baada ya hapo nunua malighafi
Unaweza kumtumia hata mfanyakazi wa ujenzi,hasa hawa vijana hawana shidaStructural engineer hadi laki 8 laki 2 hawa wa mtaani napo mmmh ngumu sana
Mkuu nondo ulinunulia kiwanda ganiNi vizuri pia kuwa na nyumba ya ndoto yako, ingawa changamoto huwa bei ya malighafi; mfano mimi nondo nilikuwa nachukulia kiwandani ili kupunguza gharama, unakuwa unauziwa kwa tani.
Hakuna mradi uliwahi kufeli kwenye makaratasiMotivational speakers bana.
Mkuu naomba makisio ya Nondo za kumwaga jamvi baada ya kupandisha kuta kozi 10 na kufunga lintaSiku mie namwaga slab mifuko 116 ya cement inondoka mbele ya macho yangu ndio nilipojua haya maghorofa yote ni kujijaza upepo tuu unless ni for business.
Bora ujilie mbususu tuu kwenye nyumba yako ya chini ya mil100. Muhimu kuwe na kipupwe vyumba vyote na maji yanatoka kwa presha basi.
Mkuu hiyo 116 ni slab ya mita skwea ngapiSiku mie namwaga slab mifuko 116 ya cement inondoka mbele ya macho yangu ndio nilipojua haya maghorofa yote ni kujijaza upepo tuu unless ni for business.
Bora ujilie mbususu tuu kwenye nyumba yako ya chini ya mil100. Muhimu kuwe na kipupwe vyumba vyote na maji yanatoka kwa presha basi.
Dah, hiyo Item ya mwisho umenifurahisha sana. Nitaitendea kazi Mkuu.Wengi wanaogopa sana kujenga ghorofa wakizani labda mpaka uwe na pesa nyingi ndio ujenge. Ukiamua hakuna kinachoshindikana, kama umeweza kujenga nyumba ya chini,jua una uwezo pia wa kujenga ghorofa. Fanya yafuatayo kutimiza ndoto zako:-
- Weka kwenye michoro wazo la nyumba yako (jichoree mwenyewe unavyotaka)
- Tafuta injinia akuandalie BOQ (idadi ya matirio yatakayotumika),michoro, na ramani
- Tafuta kibali cha ujenzi- itategemea na eneo uliopo
- Anza kununua mawe, kokoto nyeusi, mchanga, matofari ya kuanzia, nondo. simenti-kwa ajili ya msingi
- Nenda maeneo yanapojengwa magorofa, na umchukue fundi unayemuona anapiga kazi
- Ingia makubaliano na huyo fundi-akupatie gharama ya msingi, ikiwezekana mkubaliane kwa siku.
- Anza kazi ya msingi.
- Weka rafu/ zege kwenye msingi
- Anza kupandisha nguzo na tofali kwa awamu awamu kutokana na mzunguko wako wa pesa- unaweza kumtumia yule fundi wa mwanzo au ukatafuta mwingine
- Ukifika kwenye lenta-inabidi upumzike
- Anza kukusanya nondo,kokoto nyeusi, simenti,misumari
- Angalia pa kukodi 'plate' au 'marine board',kwa siku gharama yake huwa ni sh. 400/= kwa moja, pia kukodi mirunda, mbao; inategemea na sehemu ulipo.
- Mwite fundi kwa kazi ya 'slab'- hapa ndipo huwa pagumu sana kwenye ghorofa
- Akishamaliza slab, pumzika utafute nguvu
- Endelea na ujenzi wa juu
- Paua mjengo wako
- Endelea na hatua zingine za 'finishing'
- Baada ya hapo jipongeze....kwa kutembelea mbuga za wanyama
Hapana Mkuu, alichoandika ni sahihi kabisa hasa kwa sisi watu ambao cash flow yetu haipo uniform.Motivational speakers bana.
Unatakiwa kutenga si chini ya shilingi milioni 20.Mkuu naomba makisio ya Nondo za kumwaga jamvi baada ya kupandisha kuta kozi 10 na kufunga linta
Wewe ni jamaa yake Mwandulami wa pale Mtwango Njombe. Yeye alijijengea kaburi lake na la Wake zake akiwa bado hai.Mimi nitajenga kaburi la ghorofa
Nikiwa nalo na nisipokuwa nalo halitakusaidia chochote, we chukua ushauri kafanyie kaziwe unalo?
17 x 6 + 6 x 6Mkuu hiyo 116 ni slab ya mita skea ngapi
Kumbe ilikuwa kubwa, nafikiri 50msq inakuwa ahueni17 x 6 + 6 x 6
OKW BOBAN SUNZU hii slabu ya SQM 50 itakuwa na nini na nini kimfano (yaan bedroom ngapi, balcony? kwa mfano) na je umemaanisha eneo lote mpaka ukuta/kuta zinapopita ama? ni pasipo kuta? sure upo sahihi kwa ghorofa ukiweza kupunguza idadi ya SQM pia utapunguza gharama tatizo ni hapo ni kwa namna gani utapunguza hizo SQM na bado kwa mfano G1 upate let say 3 master bed rooms, balconyKumbe ilikuwa kubwa, nafikiri 50msq inakuwa ahueni
OKW BOBAN SUNZU hii slabu ya SQM 50 itakuwa na nini na nini kimfano (yaan bedroom ngapi, balcony? kwa mfano) na je umemaanisha eneo lote mpaka ukuta/kuta zinapopita ama? ni pasipo kuta? sure upo sahihi kwa ghorofa ukiweza kupunguza idadi ya SQM pia utapunguza gharama tatizo ni hapo ni kwa namna gani utapunguza hizo SQM na bado kwa mfano G1 upate let say 3 master bed rooms, balcony