Je, upi ni mtaala bora kwa Shule za Msingi kati ya ule wa Cambridge na Necta?

Architect E.M

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,212
1,364
Wakuu habari za muda. Mwanangu amekaribia kufika umri wa kwenda shule. nilikua naomba kuuliza. Sylabus ipi ni nzuri kwa ulimwengu huu wa sasa? Ninaombeni Muongozo.

Asanteni.
 
Kama unapesa mpeleke shule zenye syllabus ya Cambridge. Huko NECTA wenye dhamana wenyewe wanatema yai bovu. Hawa wakwetu huko NECTA ni kwakua tu mifuko yetu ni mifupi.
 
Asante kwa ushauri mzuri dada yangu... je, tofauti hasa ya necta na cambridge ni ipi?? What are the advantages and dis advantages of each.? Nisamehe kwa maswali mengi lakini sina info zozote kuhusu cambridge ndio maana nauliza maswali mengi.. na ninaona shule nyingi ada sio ghali sana.. up to 4m per year ambae middle class wanaweza kuafford.
 
Mtoto anaepata msingi wa Cambridge, elimu ya juu haita msumbua hata aende kusoma South Africa, USA au Canada
 
Huko sio yai tu linatemwa.

Mtoto anafundishwa contents za kutosha kwa Ufahamu zaidi si kwa kukarishwa zaidi.
 
Cambridge ni nzuri ila uwe vizuri mfukoni kwa sasa na kwa kipindi cha miaka 20 ijayo. Itakulazimu aende vyuo vya ulaya, marekani, canada na australia. Omba Mungu afaulu sana apate scholarship. Pia omba Mungu apate kazi ya kueleweka huko ulaya (sio kubeba mabox).

Mimi ninawazo tofauti, kama wewe ni mzazi na una mihela yako imejaa. Bora asome necta pesa inayobaki umtunzie dogo akimaliza chuo unampa pesa kama mtaji (ajira hazipo). Au mpandie miti dogo kwa sasa mpaka akija kuwa mkubwa atavuna apate pesa. Miti kama ya mbao, nguzo za umeme, maparachichi, maembe na mikorosho imsaidie mbeleni huko. Sisi wengine wazazi wanatukazania tusome ila ndo hivyo maisha yanakuwa tatizo na ajira hazipo.
Au wewe kama mzazi anzisha kampuni ndogo uiendeshe mdogomdogo ili mpaka dogo anamaliza shule anaikuta kampuni ishakuwa kubwa na anaingia moja kwa moja kwenye kampuni yako. Wewe mzazi ukifa dogo ataendeleza kampuni.
(Ni mtazamo wangu binafsi)
 
Mtazamo mzuri sana mkuu. Asante kwa ushauri.... ina maanisha kumsomesha mtoto combridge alafu chuo udsm haifai sio??? Kama akishaanza cambridge ni vizuri chuo aende mambele huko au.???.
 
Yaani mi nilishafanya maamuzi kama ya kwako. Unakuta boss ana graduate kama watatu ndani wote wanatema yai la kyenyeji ila hawana ajira na kuna kazi hawawezi kuzifanya kama kukamua ng'ombe n.k.

Huko tunakoelekea kama hatujaandaa miundombinu ya kuwapatia kazi tutaishi nao majumbani.
Kuna watu wanajidanganya eti wako kwenye system wanasahau kwamba zama huwa zinabadilika kama ulikuwa mbatizaji na wewe unajikuta unabatizwa na familia yako.
 
Huu ndio ukweli ambao hata mimi naumia kwa sasa. Wenzetu wanasiasa,waarabu na wahindi wanawaandalia watoto wao mahali pa kuwapeleka mfano Mo dewji, Watoto wa bakhresa, wanasiasa wanawatafutia watoto wao majimbo na viti maalum. Ila sisi tunalazimishwa kumeza madude na vingereza vingiiiiiiiiii, kisha unakuwa na shehena ya vyeti vyenye A pekee ila unakaa zako ndani. Wanasiasa wanakaa wanaropoka kajiajiri na ujasiriamali.
Dah! Inabidi wazazi mfunguke akili sasa wakati bado mtoto ni mdogo umuandalie pa kumpeleka kabisa akimaliza shule.
 
Mtazamo mzuri sana mkuu. Asante kwa ushauri.... ina maanisha kumsomesha mtoto combridge alafu chuo udsm haifai sio??? Kama akishaanza cambridge ni vizuri chuo aende mambele huko au.???.
Ndio, na ada za shule za cambridge zimesimama imara kama mlima sayuni na hazitikisiki kamwe. Naamini wewe ni Mzazi ambaye upo vizuri mno kifedha.

Kama pesa unayo fanya mpango dogo asome mbele huko.
 
P

Principal nliojiwekea na hata baba yangu alijiwekea wakati anatusomesha sisi, FISRT DEGREE lazima isomwe hapa hapa bongo.. wengi wakienda nje wanakua hawako matured enough, wanaharibika... wachache wanaoenda na kurudi na kutimiza malengo.. kwa principal hiyo naona twende tu na NECTA.
 
Mimi nilisomeshwa udaktari China ada kwa mwaka 12 Millions Tshs.Saivi nafanya kazi Dispensary Mshahara laki tano.

Kama wewe sio Diplomat au mtu mwenye Kampuni yako ni bora umsomeshe Feza lakini ni mtaala wa Necta.Cambridge kibongo bongo ina restrictions nyingi sana
 
Back
Top Bottom