Je unaifahamu kozi medical physics?🤔🧐

Kong xin cai

Member
Dec 12, 2020
44
52
Mimi ni mwanafunzi ninayechukua kozi ya bachelor ya fizikia hapa chuo Cha Harvard nchini Tanzania.
Nimespecialize kwenye kitengo Cha medical physics.

Kwa ufupi medical physicist anafanya kazi katika maeneo tofauti tofauti yanayohusisha mionzi.

hospitals
-wanasimamia na kuthibiti ubora WA vifaa vinavyotoa mionzi
-wanahakikisha usalama WA mionzi Kwa watumishi( watumishi, wagonjwa na watu wengine)
-kwa hospital zinatoa matibabu ya kansa, medical physicist anashirikia na matabibu, radiographer, na radiologist kupanga, kuthibiti na kusimamia utoaji WA dosi.

Kwa upate WA viwandani, wanafanya kazi ya ukaguzi na kuthibiti ubora WA bidhaa Kwa kutumia vifaa vinavyotoa mionzi, vile kwenye upande WA mamlaka ya kuthibiti ubora Tanzania TBS

Kwa kuwa, kozi hii inahusisha taaluma imaging technology, je unafikili kozi hii ina manufaa Gani Kwa taifa?
vipi kuhusu uwanja WA ajira?
je Kuna kingine unachokifahamu kuhusu kozi hii??

Karibu kwenye blog yangu ya Tanzania medical physicists association ili tujifunze zaidi
⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️⬇️
☢️☣️☣️☢️
 
Hii nchi ni ya mbulung'weng'we yaliyokariri taaluma
Hupati mtu humu
Kutwa kuchwa ni kuuliza nisomee kozi gani yenye fursa
 
Kwanzq nitangulize pole kwa kwenda kusoma hiyo kozi.
Lkn nitangulize pia hongera kwa kusoma kitu unachikipenda.


Natanguliza shukran.
 
Back
Top Bottom