Je, siku ya Leo unamshahauri nini hasa Benjamin Netanyau?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,375
4,993
Wadau hamjamboni nyote?

Kichwa cha habari chahusika

Naomba kujua ikitokea umepewa nafasi ya kushauri siku ya leo May 20,2024 Je utampa ushauri gani Waziri Mkuu Benjamin Netanyau?

Niwatakie usiku mwema wenye baraka tele Ndugu zangu wa jukwaa hili
cbsn-fusion-israel-holds-fifth-election-in-less-than-four-years-thumbnail-1425832-640x360.jpg
 
Pale mashariki ya kati panatakiwa Rais kama Yeye Sio Hawa Wengine Wanataka Kucheka Cheka haswa Viongozi Wa Africa Vilaza Kwa hiyo basi Alivyo Fanya Kwa Rais Wa Iran Iwe fundisho Kwa Wengine Wote Tena apige mkwala hadharani kweupe na Hamas Watoke Wenyewe Kwenye Mashimo Humo
 
Tamwambia ujinga wake ndio furaha ya Hamasi aendelee na ujinga wake ili jeshi la bampers waishe wote 😄
 
Mimi nampenda Netanyahu kwa vile hakurupuki. Anatafuta mbaya wake anapiga mule mule. Mfano Iran ilipopiga Israel, yeye alijua Raisi ndiye kaamrisha. Hivyo amemuadhibu yeye badala ya Kuua Raia wasio na hatia. Ukiona huko Raffah, anatafuta hamas na akijulikana kiongozi wao yupo wapi, anapiga nyumba aliyomo.

Angalia hospital walivyo kuwa hamas wamejificha, aliwakanyaga na kuwazika. Israel wanaendesha vita ya Kisasa na Kiakili!
 
Kwahio netanyau ndio kamuua raisi, duuh basi sio mchezo na vita vyake anapigana kiakili eeh
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kichwa cha habari chahusika

Naomba kujua ikitokea umepewa nafasi ya kushauri siku ya leo May 20,2024 Je utampa ushauri gani Waziri Mkuu Benjamin Netanyau?

Niwatakie usiku mwema wenye baraka tele Ndugu zangu wa jukwaa hili
namshauri kwamba aachane na mauaji na atubu. vyenginevyo akhera tunakoenda ni kuzito
 
Back
Top Bottom