Je, ni sahihi kununua shamba ambalo lilikuwa na mgogoro kwa zaidi ya miaka mitano?

Hii ni sawa na kuuliza NICHOMOE BETRI KWENYE LORI LA MAFUTA LINALOVUJA PETROL?
 
Endapo kama Mahakama ndio iliyoshuhudia Mkataba wa Mauziano ya ardhi, Halafu ardhi hiyo ikakumbwa na mgogoro, na Kisha mgogoro huo/Kesi ikafikishwa Mahakamani, Basi Mahakama itakuwa na Mgongano wa Maslahi kwenye Kesi hiyo.
"You cannot be a Judge for your own case."
Wewe ni Advocate? Kama ni hawa Advocate wa law school wacha niishie hapo hatutaelewana.

Mahakama inashuhudia mauziano na ndio sehemu salama na serikali inapata kodi yake.
 
Fuata utaratibu wa kisheria kununuwa, nenda kaandikishiane mahakamani usitumie advocate.
Mkuu Mikataba Gani inaandikwa mahakamani badala ya kwa advocate? Nani anasign hii Mikataba mahakamani? Sijawahi sikia hiki kitu nipe elimu kiongozi
 
Wewe unaishi kwa mazoea tu au hujui kazi ya mahakama na mahakimu.

Siku utakayokwenda kutaka huduma sehemu na ukaambiwa hawataki muhuri wa wakili wanataka muhuri wa mahakama hapo ndio utaelewa vizuri uzito wa mahakama.
 
Ukitafuta haki unakimbilia wapi? Mauziano yakifanyika mahakamani kikitokea chochote hakuna mwenye ubavu wa kuichezea mahakama, hawa mawakili siku hizi wao wenyewe wanawekwa ndani.

Nawashauri watu issue za mauziano wadeal na mahakama moja kwa moja, bora ulipe kodi lakini uwe salama.
Complicatory
 
Wewe unaishi kwa mazoea tu au hujui kazi ya mahakama na mahakimu.

Siku utakayokwenda kutaka huduma sehemu na ukaambiwa hawataki muhuri wa wakili wanataka muhuri wa mahakama hapo ndio utaelewa vizuri uzito wa mahakama.
Hujanijibu bado mbona mkuu, nimeshafanya Mikataba mingi sana naomba unielimishe mahakama inaweza kusimamia mkataba wa kawaida wa mauziano?
 
Wewe ni Advocate? Kama ni hawa Advocate wa law school wacha niishie hapo hatutaelewana.

Mahakama inashuhudia mauziano na ndio sehemu salama na serikali inapata kodi yake.
Kwani ukienda kushuhudia Mkataba wako wa Mauziano ya ardhi kwa Advocate hutakiwi kulipa Kodi za Serikali?
Tafadhali Sana, rejea comment yangu #17 ili uelewe point yangu. Ni kweli Mahakama inaweza kushuhudia Mikataba ya mauziano ya ardhi, lakini shida iliyojitokeza ni kuwa Mahakama imejikuta ipo kwenye migogoro ya mgongano wa maslahi pale ardhi ambayo Mahakama yenyewe imeshuhudia mkataba, halafu ardhi husika ikakumbwa na mgogoro/Kesi na kisha mgogoro huo ukafikishwa Mahakamani ili upatiwe ufumbuzi. Katika hali kama hii, Mahakama inashindwa isimame wapi, Je, isimame Kama Shahidi aliyeshuhudia mauziano ya ardhi yenye mgogoro au isimame upande wa Mwamuzi (Mtatuzi) wa mgogoro wa ardhi husika????

Remember one of the Principle/rule of Natural Justice: 'You cannot be a Judge for your own case.'
 
Tapeli yeyote hawezi kukubali kwenda kufunga mkataba mahakamani, kama huelewi maana yake ni hiyo, ukileta Kilatini hapa hakitosaidia, hoja ya kimantiki ni hiyo.

Bado hujasema mahakama inaweza kushuhudia mkataba au haiwezi hilo ndio swali la msingi na jibu lake inaweza fullstop zingine ni hadithi tu.
 
Wewe kweli ni dokta????????????????
 
Mkuu Mikataba Gani inaandikwa mahakamani badala ya kwa advocate? Nani anasign hii Mikataba mahakamani? Sijawahi sikia hiki kitu nipe elimu kiongozi
Mimi nilishasainisha kwa hakimu mfawidhi wa wilaya kabisa. Wanakukatia na zile receipts za serikali za njano! Nisijue sasa hivi kwenye haya mambo ya control number!
 
Elewatu kwamba ukinunua kitu chochote chenye mgogoro basi UMENUNUA MGOGORO NA NUIYA KUTOA HELA HIYO SADAKA.
 
Back
Top Bottom