Je, ni kweli kampuni za Mchechu ndio zinajenga nyumba za NHC?

Hii ilikuwa ipo chini kwa chini, ila inasemekana Yeye ni mbia mkubwa yupo na vigogo wengine
 
Hilo la kuanzisha vikampuni vya kando na kuvipa tenda umekua ugonjwa wa taifa! almost kila mwenye madaraka sehemu anafanya hivyo.

tatizo la mchechu hata huko bank alipotoka ni kuwa service providers wote ni makampuni yake
 
Mchechu ni mkurugenzi mkuu wa NHC

Je, ni kweli kampuni zake (wanasema anazimiliki indirectly) ndiyo zinapewa priority kwenye tenda za kujenga nyumba za shirika hilo?

The word is mwenyewe haogopi kufukuzwa kazi kwani sasa hivi kampuni zake zinaidai NHC mabilioni na interest juu hivyo hata akifukuzwa kazi au akisimamishwa kupisha uchunguzi yeye ataendelea kula bata

Je, mwongozo wa Utumishi unasemaje kuhusu haya mambo ya indirect?

Natumai Pasco atakuja toka chimbo alipo na maneno ya kutishana na sababu za yeye kuja kwenye uzi huu anazijua.
Ni kweli ukimgusa Mchechu Pasco lazima aje , ushahidi ninao .
 
Natumai Phttps://www.jamiiforums.com/threads/the-power-of-karma-ndio-hukumu-pekee-ya-haki-kamili-hapa-duniani-unahukumiwa-kwa-matendo-yako.838459/page-2
Ni kweli ukimgusa Mchechu Pasco lazima aje , ushahidi ninao .
Pasco upoooo????

Why me?, mimi always niko open na transparent, hivyo funguka tuu...
P
Why me?, mimi always niko open na transparent, hivyo funguka tuu...
P
 
Mchechu ni mkurugenzi mkuu wa NHC

Je, ni kweli kampuni zake (wanasema anazimiliki indirectly) ndiyo zinapewa priority kwenye tenda za kujenga nyumba za shirika hilo?

The word is mwenyewe haogopi kufukuzwa kazi kwani sasa hivi kampuni zake zinaidai NHC mabilioni na interest juu hivyo hata akifukuzwa kazi au akisimamishwa kupisha uchunguzi yeye ataendelea kula bata

Je, mwongozo wa Utumishi unasemaje kuhusu haya mambo ya indirect?

Natumai Pasco atakuja toka chimbo alipo na maneno ya kutishana na sababu za yeye kuja kwenye uzi huu anazijua.
Namkumbuka sana huyu jamaa wakati wasakata la Mbowe na bilcanas. Sasa naamini maneno ya TL, "Akitumaliza sisi atahamia kwenu"
 
acha tu bro!
Kamaliza manunuzi, tunbua tumbua inaendelea. Hata mshahara wa Mchechu pia ulimkwaza. 35m na zaidi kwa mwezi?
 
Back
Top Bottom