Je, ni kweli kampuni za Mchechu ndio zinajenga nyumba za NHC?

Ahh TZ!! Halafu nasikia huyo aliyefutwa jina ndio Mtanzania mzalendo haijapata kutokea. Sasa hivi watu wanaacha kazi zao na kumfata kama wakati wa Yesu watu walipo uza Mali zao na kumfata.
Pia ni msema kweli mpenzi wa mungu mwenye mijengo mitatu ya nguvu kule Dom iliyopangwa na waliohamia huko
 
Mchechu ni mkurugenzi mkuu wa NHC

Je, ni kweli kampuni zake (wanasema anazimiliki indirectly) ndiyo zinapewa priority kwenye tenda za kujenga nyumba za shirika hilo?

The word is mwenyewe haogopi kufukuzwa kazi kwani sasa hivi kampuni zake zinaidai NHC mabilioni na interest juu hivyo hata akifukuzwa kazi au akisimamishwa kupisha uchunguzi yeye ataendelea kula bata

Je, mwongozo wa Utumishi unasemaje kuhusu haya mambo ya indirect?

Natumai Pasco atakuja toka chimbo alipo na maneno ya kutishana na sababu za yeye kuja kwenye uzi huu anazijua.
Kama ni kweli ametumia kampuni zake katika ujenzi wa nyumba za NHC, hiyo itakuwa katika package ya makosa yake.Kama kiongozi alipaswa kuona kwamba kwa kufanya hivyo, patakuwa na conflict of interest.Let me assure you kwamba kama sheria isipopindishwa, hata mali zake hazitakuwa salama, kwa hiyo hatakula bata kama unavyodhani,kwa kuwa itabidi ichunguzwe kama mali hizo amezipata kwa njia halali.Na kwa jinsi ninavyowafahamu watani zangu,that is highly unlikely.
 
Vijana wa CHADEMA tokea Mbowe afurumushwe NHC mnashinda kwa waganga kumuombea mabaya na kumroga Mchechu.
Acha ushamba wa kolomije na chato, Nyumba ya mbowe ilivunjwa kwa Amri toka juu ni Mtukufu malaika wa chato alitoa Amri huyo jamaa katumbuliwa kwa dhambi zake mwenyewe kama ni Uchawi atakuwa karogwa na CCM wenyewe wenye wivu nae ambao kawanyima 10% kwenye Dili zake na kampuni zake na pengine atakuwa kapishana Lugha na Maliyamungu Bashite.
 
tatizo la mchechu hata huko bank alipotoka ni kuwa service providers wote ni makampuni yake
Maliyamungu Bashite na Le mutuz walienda kuomba pesa kwa ajili ya kununulia wabunge wa upinzani akawatosa ndipo wakaamua kumtengenezea Zengwe.
 
Mchechu aliombwa pesa na Maliyamungu Bashite kwa ajili ya kuwanunua Wapinzani akagoma ndipo Bashite akakaa kikao na kikundi chake akina Le mutuz, Jerry muro, Lipumba na wenzao wakaamua kumtengenezea Zengwe la kumkomoa, na kipindi hiki wengi watakomolewa pindi wakishindwa kutoa pesa za kuwanunua wabunge wa chadema, Maliyamungu Bashite kaandaa list yote.
 
Yani huyo lisu mnalazimisha kumnukuu hata sehemu hapana uhitaji.kazi sana.Yani kila upuuz ukifanyika na hatua zikichukuliwa anaibuka karai ooh lisu alisema akitoka kwetu anakuja kwenu.Hizi ni fallacy,Appeal to Authority.
Unaumia sana? Huwa wanashauri kuramba ndimu
 
Mkuu HNIC, this is very serious allegations, hivyo nashauri to be on a safe side, tanguliza neno tetesi ili ikitokea huu ukawa ni uzushi tuu, then jf we are safe.

Hii ikiwa ni kweli, hizi ndio nondo zinazoipasha jf na kuifanya kuwa a very reliable source of very important info!.
Huu ukiwa ni uzushi, uzushi kama huu ndio unaoporomosha credibility ya jf kuifanya ionekane ni kijiwe cha wanga wapika majungu wasilitakia mema kabisa taifa hili!.

Pasco
Mwambie Rafiki yako Mchechu atoe pesa za kuwanunua wabunge wa chadema atasamehewa na Maliyamungu Bashite na kikundi chake, mwambie ampigie Simu Le mutuz ampatie Pesa leo hii hii wanafanya mipango uchunguzi ukifanyika huyo Mchechu atasafishwa na kuwa safi na kurejeshwa kazini.
 
Mkuu sio wafuasi wa Mbowe,hata wafuasi wa JPM wenyewe kama Lukuvi wameamua kumvalia njuga Mchechu
Mchechu ameteketezwa na CCM wenzake baada ya kuwa Mchoyo hataki kuwapa pesa Maliyamungu Bashite na kikundi chake na endapo atawapa pesa hata asubuhi hii kila kitu kitarejea kama kawaida, kilichomponza Mchechu ni Uchoyo wake kwa Maliyamungu Bashite.
 
Kama ni kweli ametumia kampuni zake katika ujenzi wa nyumba za NHC, hiyo itakuwa katika package ya makosa yake.Kama kiongozi alipaswa kuona kwamba kwa kufanya hivyo, patakuwa na conflict of interest.Let me assure you kwamba kama sheria isipopindishwa, hata mali zake hazitakuwa salama, kwa hiyo hatakula bata kama unavyodhani,kwa kuwa itabidi ichunguzwe kama mali hizo amezipata kwa njia halali.Na kwa jinsi ninavyowafahamu watani zangu,that is highly unlikely.
Hapana kuhusu kampuni zinazojenga miradi ya nhc ni za nehemia mchechu si kweli kabisa hata ukiangalia miradi ya nhc morrocco square anaejenga ni kampuni ya estim construction ambayo sio yake pia miradi mingi ya nhc inajengwa na makampuni ya kichina kama vile China Raiway Jianchang Engineering (CRJE) wanahusika mradi wa kawe satellite city pia Group Six International (GSI)wanahusika katika mradi wa nhc ushindi residential apartments uliopo victoria pia ukiangalia miradi mingi ya nhc inajengwa na kampuni ya Estim construction ltd ambayo sio yake kabisa
 
Sub contracting?
 
Back
Top Bottom