Je, Chadema ni Wabaguzi? Kwanini walitaka Wao na CCM tu Ndio Watoe Mawazo ya Tume Huru ya Uchaguzi itakavyoundwa na kuvitenga Vyama vingine?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
85,736
145,619
Kama ni Kweli Chadema walishauri Vyama vingine visiingizwe kwenye Mijadala wa Marekebisho ya NEC bali Wawe Wao na CCM tu, basi demokrasia ya nchi yetu ipo mbali

Wengi tulihoji hapa Jf Kwanini Maridhiano ya Chadema na CCM mh Mbowe ameyafanya kuwa Siri?

Hata Lisu na Lema wakiwa uhamishoni Ulaya waliapa watakapotua tu nchini litaitishwa Baraza Kuu ili Mwenyekiti awape mrejesho wa Maridhiano atake asitake

Hatimaye Leo CCM imetegua kitendawili Cha Maridhiano
 
Back
Top Bottom