Hakuna maridhiano yoyote baina ya CCM kama taasisi na CHADEMA zile zilikuwa ni stori tu za hali ya kisiasa

Tanzania ya Watanzania

Senior Member
Apr 28, 2024
102
66
Wasalaam Jf,

Vijana Wakizalendo bila kujali itikadi za vyama vyao wametoa tamko kwa kile kinachosemwa na Upinzani kuwa ni maridhiano baina yao na CCM Tanzania.

Akizungumza na Waandishi wa habari Mratibu wa Movement Samia Kitaifa Bw Ng'wigulu Nyerere Shigela amesema anashangazwa na CHADEMA kusema eti wanamaridhiano na CCM,

Shigela anasema kuwa CCM ni taasisi sio mtu mmoja, Shigela anahoji ni lini Viongozi wa CCM na Viongozi wa CHADEMA walifanya vikao vya maridhiano kwa pamoja?

Shigela anasema kitendo Cha Cha Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe kukaa na Rais Dkt Samia Suluhu na kupiga stori za hali ya kisiasa hayo sio maridhiano ya Vyama vya Siasa,

Endelea kumsikiliza:-​
 
Hiyo

View attachment 2993455
Movement Samia tu nimewadharau wote njaa kali mnatafuta mpenyo wa kushibisha matumbo yenu.
 
Wasalaam Jf,

Vijana Wakizalendo bila kujali itikadi za vyama vyao wametoa tamko kwa kile kinachosemwa na Upinzani kuwa ni maridhiano baina yao na CCM Tanzania.

Akizungumza na Waandishi wa habari Mratibu wa Movement Samia Kitaifa Bw Ng'wigulu Nyerere Shigela amesema anashangazwa na CHADEMA kusema eti wanamaridhiano na CCM,

Shigela anasema kuwa CCM ni taasisi sio mtu mmoja, Shigela anahoji ni lini Viongozi wa CCM na Viongozi wa CHADEMA walifanya vikao vya maridhiano kwa pamoja?

Shigela anasema kitendo Cha Cha Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe kukaa na Rais Dkt Samia Suluhu na kupiga stori za hali ya kisiasa hayo sio maridhiano ya Vyama vya Siasa,

Endelea kumsikiliza:-​
View attachment 2993455
Movement Samia
 
Huyu jamaa ni kiande sana na hajui anqchokiongea kuanzia dk ya 1 na sek 20, huyu nae hakuna kitu 😂😂😂😂
Nchi hii inakuwa na wajinga na walamba viatu wengi
 
Wasalaam Jf,

Vijana Wakizalendo bila kujali itikadi za vyama vyao wametoa tamko kwa kile kinachosemwa na Upinzani kuwa ni maridhiano baina yao na CCM Tanzania.

Akizungumza na Waandishi wa habari Mratibu wa Movement Samia Kitaifa Bw Ng'wigulu Nyerere Shigela amesema anashangazwa na CHADEMA kusema eti wanamaridhiano na CCM,

Shigela anasema kuwa CCM ni taasisi sio mtu mmoja, Shigela anahoji ni lini Viongozi wa CCM na Viongozi wa CHADEMA walifanya vikao vya maridhiano kwa pamoja?

Shigela anasema kitendo Cha Cha Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe kukaa na Rais Dkt Samia Suluhu na kupiga stori za hali ya kisiasa hayo sio maridhiano ya Vyama vya Siasa,

Endelea kumsikiliza:-​
View attachment 2993455
Heeeeh😂😂
 
Ngoja tuone SAMIA MOVEMENT
 
Back
Top Bottom