Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi

Pascal Mayalla Haya Mataifa hayawezi kuunga mkono juhudi za Mh. Rais, hasa pale ambapo tunaanza kufanikiwa katika kuwabana wanyonyaji wa maliasili zetu. Watakuja na kila aina ya propaganda, na watatumia vyombo na taasisi zao kutuchafua. Mambo ya aina hii yamekua yakitokea sio tu kwa Tanzania, tumeona propaganda za namna hii zikienezwa kwa nchi nyingine zilizokataa unyonyaji wa mataifa ya maghalibi na zilizoamua kusimamia usawa katika kusimamia maliasili za nchi.


Sisi watanzania hatupaswi kurudishwa nyuma na propaganda dhaifu kama hizi, inafaa tusimame kwa pamoja, tumuunge mkono Mh. Rais wetu, na tuendelee mbele. Tanzania ki uhalisia tulihitaji kiongozi wa kaliba ya Mh. Magufuli, sasa tumempata tumtumie katika kipindi hiki cha miaka 10 na tutafikia pazuri.
Historia inaonyesha kuwa mataifa makubwa tangu mwanzo huwa yanatufuta malighafi kutoka Afrika ili kuendeleza uchumi wa nchi zao. Wao ni bishara ambayo huziacha nchi za Afrika maskini na hawajali kabisa maendeleo ya nchi hizi. Akitokea kiongozi ambaye anatetea usawa wa Biashara kwa pande zote na kulinda maliasili zisichukuliwe kwa bei che ndio utaona maneno mengi ya kashfa na kejeli ni kuzodoa juhudi za kiongozi huyo. Haiwezekani Tanzania imejaliwa karibuni na kila namna ya Maliasili na bado tunaambiwa nchi yetu ni maskini tena umaskini wa kutupwa. The so called wawekezaji wanaweka maslahi yao mbele na wanataka kunufaika na maliasili zetu with impunity. Pamoja ya kuwahitaji wawekezaji, tunataka a win win situation. Tupate ajira za Watanzani, wawekezaji walipe kodi halali na kodi hizo sisaidie kuleta maendeleo ya nchi. Wawekezaji washirikiane na wawekezaji wa Kitanzania yote haya katika kujenga uweza wa wazawa baadaye katika kuendeleza uchumi wetu.
 
Historia inaonyesha kuwa mataifa makubwa tangu mwanzo huwa yanatufuta malighafi kutoka Afrika ili kuendeleza uchumi wa nchi zao. Wao ni bishara ambayo huziacha nchi za Afrika maskini na hawajali kabisa maendeleo ya nchi hizi. Akitokea kiongozi ambaye anatetea usawa wa Biashara kwa pande zote na kulinda maliasili zisichukuliwe kwa bei che ndio utaona maneno mengi ya kashfa na kejeli ni kuzodoa juhudi za kiongozi huyo. Haiwezekani Tanzania imejaliwa karibuni na kila namna ya Maliasili na bado tunaambiwa nchi yetu ni maskini tena umaskini wa kutupwa. The so called wawekezaji wanaweka maslahi yao mbele na wanataka kunufaika na maliasili zetu with impunity. Pamoja ya kuwahitaji wawekezaji, tunataka a win win situation. Tupate ajira za Watanzani, wawekezaji walipe kodi halali na kodi hizo sisaidie kuleta maendeleo ya nchi. Wawekezaji washirikiane na wawekezaji wa Kitanzania yote haya katika kujenga uweza wa wazawa baadaye katika kuendeleza uchumi wetu.

Your natural resources contribute just under 5% of the global economy. So stop pointing fingers at developed country and start to take care your own well being.
 
Graphs zote mbili zinaonyesha Tanzania haijawahi kuwa juu ya Kenya. What's the finding here? Mleta mada hapa alicholeta ni ishu ya so called udikiteta wa maghufuli(sick). Watu wanajazana upupu kwenye social media wakiongozwa na wehu wa kila aina, na whatever media behind zinawapa mnachotaka kusikia. this is the episod of "beast".
 
Guys, lets be honest here na to use some common sense.....Hili Jarida la The Economist ni la uchochezi as always, Usikute linatumiwa na watu kuichafua Tanzania tu, LAZIMA tuwe makini.
Tanzania inajichafua yenyewe. Mbona enzi ya mkapa. Mwinyi na jk hawajatuchafua? Acheni kujitia wazimu kama vile hakuna linalotokea. Wanaouwawa ni nguruwe?
 
Paskali,

Nimesoma makala yako na umenikumbusha kitabu kimoja cha Psychology kilichokuwa kinazungumzia jinsi ya kuvumbua " fallacy" mbali mbali kwenye hoja. Ukisoma swali ulilouliza mtu kwa juu juu anaweza kudhani kuwa alternatives tulizonazo kama Watanzania ni mbili tuu: moja, tuwe na demokrasia na tuwe nchi masikini au tusiwe na demokrasia lakini tuwe matajiri. Hoja yako na swali lako limetengeneza fallacy inayoitwa " False Alternatives." Kwani mtu angeuliza jee haiwezekanani kuwa na demokrasia na kuwa tajiri? Mbona Australia, Uingereza, Ujerumani wameweza?

Umegusia kuweza kwa Australia, Uingereza na Ujerumani huku umeacha kutaja kuwa nchi hizi zilitumia ukoloni, free labor/resources kupata maendeleo ya haraka. Vile vile katika maendeleo yao nchi hizi hazikuingiliwa kwa namna moja au nyingine na nchi za mabara mengine.

Una maoni gani kuhusu hayo?
 
Nipe jina la kiongozi hata mmoja aliyefanikiwa kwa kwenda against western countries
Siyo kwa kwenda kinyume na western, wale jamaa wako na kila kitu. Na kwa kuwa sisi tunataka kufikia maisha yao kwa mkato hatuwezi kifanikiwa kabisa kwa kwenda kinyume nao.
Unataka ndege huku hata usafiri wa punda huna? Viongozi wa kiafrika hawajui ni kitu gani cha muhimu just c/p harafu humu kila mkiambiwa wanatukana unanunuaje bombadia unashindwa kushughulikia kilimo
 
Wanabodi.

Hii ni Makala toka jarida la The Economist, linamsakama sana rais Magufuli, katika Makala hii, linahamasisha rais Magufuli adhibitiwe kwa kuwekewa vikwazo vikali kabisa kiuchumi.
How to save Tanzania

Wachumi wetu tusaidieni, ukiondoa hoja za udikiteta, jee kiuchumi rais Magufuli anafanya vizuri?. Kama rais Magufuli anajenga Tanzania yenye neema na ustawi kiuchumi, then tujiulize jee Watanzania tunataka nini?. Tunataka Tanzania masikini yenye demokrasia, au Tanzania tajiri yenye udikiteta?.


Democracy in Africa How to save Tanzania

Start by containing President John Magufuli
20180317_BLP513.jpg

Print edition | Leaders
Mar 17th 2018
THE white beach of Dar es Salaam may seem enticing. Yet the bodies that have washed up on it, almost in sight of the city’s glistening offices and hotels, are a sign of Tanzania’s sickening lurch to despotism. Opposition politicians are being shot; activists and journalists are disappearing.

Until recently Tanzania’s political stability drew investors and donors, spurring one of the fastest sustained streaks of economic growth in Africa. But John Magufuli, an authoritarian and erratic president in his third year in office, threatens to undo much that Tanzania has achieved over the past few decades. The rest of Africa, and the world, should not keep quiet.

The Teacher’s flawed lessons

Tanzania matters, in part because of the aura of the late Julius Nyerere, its first prime minister, as a founding father of post-colonial Africa (he is still affectionately known as Mwalimu or “Teacher”). Like many other leaders of the time, he was an autocrat, instituting one-party rule on the ground that democracy was “an over-sophisticated pastime which we in Africa cannot afford”. He impoverished a generation through his “African socialism”. He nationalised companies and forced millions onto collective farms, burning their homes to stop them returning. The result was hunger and economic chaos.

Even so, he sought to unite his country in a region where many clung to power by stoking tribal tensions. He was, in general, less repressive than many of his peers. And by sending his troops into Uganda, he got rid of Idi Amin, one of the world’s nastiest dictators. More recently, with the restoration of multiparty democracy in 1994, Tanzania has been the darling of investors. Its output has grown on average by about 6.5% a year for the past decade. It has attracted foreign direct investment worth an average of 4% of GDP each year. Tanzanians are now about twice as rich as they were in 1990.

Yet this progress is imperilled by Mr Magufuli, who is transforming a stable, if flawed, democracy into a brutal dictatorship (see article). Officials have taken to making arbitrary demands for taxes. Businesses are shutting, exports are slumping, investors are fleeing and economic growth is forecast to slow.

20180317_LDC104.png

Outsiders have been shamefully mealy-mouthed. Africa is almost silent. America and the European Union recently expressed concern about political violence, but did not criticise the government directly. Nor did they threaten to take action if the repression continues. Some diplomats argue that a part-suspension of American aid in 2016 was ineffective. Aid officials worry that further cuts would hurt mainly the poor.

They could and should be more forceful. Three years ago European countries temporarily withheld about $500m over corruption. The government soon fired and charged officials who were implicated. Tanzania is Africa’s third-largest recipient of Western aid (and the largest per person); 10-15% of its revenues come from Western countries as fungible “budget support”. Multilateral donors are still tripping over one another to give it cheap loans and grants. The World Bank, for instance, has increased its allocation to Tanzania by $500m, to $2.4bn.

For Western donors to look away as Tanzania descends into oppression would be to discard much of its progress in recent decades. Most of all, Tanzania’s neighbours need to act. Failing to stand up for the rule of law is to encourage other would-be despots to do their worst.

This article appeared in the Leaders section of the print edition under the headline "Tanzania’s sickening lurch"

Jee rais Magufuli amewakosea nini wazungu hawa hadi kumkamia namna hii?, wakati baadhi yetu tukitamani Katiba ibadilishwe, tumpatie rais Magufuli muda wa kutosha kuinyoosha nchi, hawa watu wanamuita John Magufuli, an authoritarian and erratic president who is transforming a stable, if flawed, democracy into a brutal dictatorship.

Ni haki kweli kumuita rais wetu, an authoritarian and erratic president na kumtuhumu kuwa ana transforming a stable, democracy into a brutal dictatorship?. Kuna ukweli wowote hapa?.

Paskali
Pascal Mayalla ,tunashukulu Kwa taalifa yako,Cyo watz wote tunapata Habari currently Za ughaibuni kuhusu nchi yetu,huu utawala wa Sasa.

Tunakoelekea kiuchumi Mungu mwenyewe anajua,bahati mbaya uchumi hauna siri,Muda wowote unakuumbua Tu hata ufiche kiasi gani.wenye akiri wamekaa pembeni wanaangalia Tu na kusikitika.
 
Hivi kuna kiashiria gani chochote chenye kuweza kumpa Mtanzania mwenye akili timamu matumaini na awamu hii?

Uzalendo ni kuelezana ukweli, kusimamia Katiba na Sheria, kuleta haki, usawa na utengamano wa Kitaifa, kisiasa na kijamii na kuleta maendeleo ya kweli tena bila ubaguzi wala hila.

Hao The Economist wanaweza kupenyeza maslahi yao lakini je nani aliyewapa huo mwanya kama sio watawala wetu?

Mimi nasema ukweli tena kwa heshima na unyenyekevu, Rais Magufuli ameshindwa na anataka tushindwe kama Taifa. Si busara tukawa wote na akili za kushindwa, ndio maana tunatoa mawazo mbadala ya uzalendo.

Nimebold ninapokubaliana na na wewe mkuu. Kwa haya amafanikiwa sana na hakika ninampongeza:

1. Katugawa kama nchi kwa misingi ya kisiasa (kwake upinzani ni uadui hata kuoana ni makosa kati ya ccm na upinzani rejea kisa cha binti wa Abdallah Bulembo), katugawa kidini, kikanda, kikabila etc.
2. Kavuruga uchumi-Kama nchi vipaumbele vyetu vya ajabu sana Mungu atusaidie. Mambo ni vurugu tupu, wachumi wako kimya wanakula tu mshahara na kuacha uchumi unavurugwa na wanasiasa.
3.Kavuruga elimu-Sijajua nini hasa Mama Ndalichako anataka kuachive mwisho wa siku. Wamenichanganya zaidi kuamuru walimu wa sekondari waliojiendeleza toka primary kurudishwa primary-matokeo yake wameua mmoja juzi pasipo kukusudia.
4. Kavuruga demokrasia big time. Ni marufuku kufanya siasa isipokuwa kwa ccm tu. Sijui ni nani alimwambia hii nchi ni mali ya ccm.
5. Kaua utawala wa sheria nchini. Kwa sasa yeye na wenzie ndio sheria, kinachotakiwa kufanywa ni kile wanachotaka wao na si sheria inasemaje. Hii ni mbaya sana sana na itatuletea madhara makubwa huko tuendako kama nchi.
6.
7.
Yapo mengi sana bahati mbaya muda sina
 
The best is yet to come, for over ten years we have been having FDI's that provide employment to Tanzanian citizens but pay them less than what they gain from us. Now that our lovely president is pinning them, they turn to write against him. If he was their puppet we would have seen how they publish good economic figures even if there is disparity. We need ourselves more than we need international investors, let them write what they write. All we have to do is to focus upon our goals towards sustainable development, a true development for the citizens of our country.
Well said... Let's mind our business.
 
Wanaweweseka hao. Walizoea kujisombea madini na resources zetu huku wakitusifia kua uchumi wetu unapanda?

Nchi imepata Rais mwenye akili na anayewajua janja yao, sasa wameanza propaganda za kishenzi.

Kama uchumi unadorora si watuache kama wanaweza?

Hivi wenzetu mnatumiaga nini kufikiri?
kuna madini gani yalitotunufaisha
 
Back
Top Bottom