Jamal Musiala Vs Jude Bellingham unaenda na nani?

Ujue watu wana mahaba tu
Ukweli Jude is the best.
Kwa ile bvb mbovu lakini alikuwa anashine na kuibeba sana tu

Nenda kule Bayern sasa mwaka wa ngapi wanabeba? Kwanza pale Bayern muunganiko wa wachezaji ni mkubwa wengi wazuri
Tusisahau pale nyuma ya Jamal unamkuta kimmich! Imagine ..

Hata huko Madrid namba haizidanganyi Jude 10 match 10 goals!

Jude alikuwa anaibeba BVB? Dah muna lugha za hatari sana
 
Mkuu ujue kunakuwaga na Central midfielder ambaye huwa anccheza nane au sits lakini majukumu tofauti


Ndiyo huyo central midfielder kwani holding midfielder unaelewa vipi?
Ndio huyo sasa

Holding midfields ni Dm defending modified, kw akibongo ni fild ya kuzuia, Central ni midfield ya kati anaweza kuwa anachezesha au pia kuzuia, ambao wao huwa wanaitwa Box to Box
 
macho yako huwa yanaona nini uwanjani? Jude alipotea mechi nzima akiwa naruka ruka tu huku Musiala alikuwa anawakokota tu mabeki.
Sasa utamlinganisha mchezaji wa kung'aa mechi moja na mchezaji anaefanya vizuri msimu mzima? Wote ni AM lakini aina yao ya uchezaji ni tofauti. Kwangu Jude ni bora zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom