Jamal Musiala Vs Jude Bellingham unaenda na nani?

Andre-Pierre

JF-Expert Member
Nov 4, 2019
339
1,244
Wewe ndio kocha kwenye timu yako, unatakiwa uchague mmoja kati ya Musiala au Bellingham kwenye kikosi cha kwanza unaenda na nani?

1696614805832.png

Jamal Musiala

1696614903331.png

Jude Bellingham
 
Jude Bellingham.

Ni mchezaji Mzuri mno mchezaji wa Daraja la Juu sana.

Anaweza akacheza Kila Aina ya mchezo.

1. Akiamua kukaba anakaba. (Tough game atakupa)

2.akiamua KUKIMBIA anakimbia.

3. Akiamua UFUNDI ni hatari.

4. Akiamua Kuishambulia Atashambulia..

5. Akiamua kufunga atafunga pia.

6 Pia akiamua kuchezesha timu Kwa Kila temple ataichezesha,
Passing za Kila namna Fupi na ndefu.

Kiungo Bora kabisa ana Technicalities za Hali ya Juu Mno.

Changamoto
Sema waingereza hawana guarantee.............
 
Ukiachana na migoli ya Jude. Huyu dogo anapiga mpira sana anakaba, foward pass yumo anashambulia very techical player. Yan kiufupi Bellingham amekamilika sana kiuchezaji na anatumika position yoyote ya kiungo. Ila Musiala kwa position ile ya kiungo mshambuliaji ni bora zaidi ya Bellingham.

Kwahiyo kinachomshinda Musiala kwa Jude yeye sio bora kwa position nyingine za kiungo
 
Kama kocha ni Mimi naenda nao kutegemea na mechi kama isingekuwa option ya mtoa mada ningeenda nao wote, Jude namtupa CM(kama director au box to box) na Jamal namtupa AM(kama advanced playmaker) free role...Jude nitamset acheze kama regista or director huyu atanisaidia kudirect timu offensively kama achezavyo toni kroos au box to box huyu Jude ataweza mana ana energy, combativeness anayo, defensive yuko vizuri, scoring ability pia anayo...Jamal nitaenda nao kama timu inacheza zaid possessive football ni mzuri coz ana skills nyingi mguuni hasa ubunifu akiwa na mpira, dribbling yuko vizuri ila ukabaji na energy hamzidi Jude...kama timu ni ya kanyaga twende mchakamchaka naenda na Jude huyu Hana mambo mengi akipata moja anaitoa kwenye nafasi tunakimbia haraka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom