Internet Outage: Unatumia mtandao gani wenye nafuu kwenye hili janga?

imerudi saa hivi voda, Haya yote amesababisha Mathanzua kwa kuleta solar frare bongo
Mimi nimesema tu ukweli uliopo mkuu,wala sihusiki na hilo tatizo,NASA ndio wabaya wetu.Hawa jamaa wana technologies za kutisha sana,wana uwezo wa kuzima National Grids zote duniani at once na kuzima chote chote kinachotumia umeme, hata ubongo wako!Sitishi lakini ndio ukweli.
 
Theory yangu mkuu,

Uliosumbua ni waya wa Baharini, ila waya za Kwetu humu ndani hazijaathirika, site ambayo ina server South ama Kenya ama nchi ambayo ni ya Africa unaweza ukai access bila shida ila server za Mabara tofauti zinazotumia route za Bahari zinasumbua.

Kwangu dogo kashinda youtube haijamsumbua, ila site nyengine bila bila.
Nini kimesababisha hiyo marine cable kupata hitilafu? Siku ya pili leo siwezi kufanya kazi yoyote. At least leo whatsapp na baadhi ya website nafungua hapa Arusha
 
Nini kimesababisha hiyo marine cable kupata hitilafu? Siku ya pili leo siwezi kufanya kazi yoyote. At least leo whatsapp na baadhi ya website nafungua hapa Arusha
Nimecheki vyombo vya habari hakuna sababu ya uhakika, ILa imekatwa, inaweza kuwa sabotage ama ikawa bahati mbaya tu, hatujui, ngoja wafanye uchunguzi.

Halafu sio sisi tu Kenya, Uganda, Rwanda, na baadhi ya nchi nyingi za Jirani, sasa hivi inabidi wa re route traffic yao kwenda nchi waya nyengine ili kurudisha huduma kawaida, maana inachukua muda kufix hizi issue.
 
Star link walikuja kuondoa ishu za cables watu wakaona hawapati sehemu ya kupigia wakawatimua
Kuna wizara inahitaji professional sio makada na chawa.. wao wanajua kazi kubwa ya internet ni kupost Tu twitter na Instagram
Hapo mkuu swala zima ni upigaji
Tupo kwenye ulimwengu wa teknolojia kama vile network marketing kwahiyo ujio wa star link ni kuzuia mashirika makubwa ya mtandao kama vile tigo voda na airtel kuchukuaa ela ya wananchi kwa ajiri ya huduma ya internet
📌tunajiunga bando la wiki kila siku
 
Theory yangu mkuu,

Uliosumbua ni waya wa Baharini, ila waya za Kwetu humu ndani hazijaathirika, site ambayo ina server South ama Kenya ama nchi ambayo ni ya Africa unaweza ukai access bila shida ila server za Mabara tofauti zinazotumia route za Bahari zinasumbua.

Kwangu dogo kashinda youtube haijamsumbua, ila site nyengine bila bila.
Hapa tunatumia Jamii Forum mkuu server zake Ziko nchi gani?
 
Ni janga la Afrika mashariki yote, Kenya, Uganda, Rwanda na Tanzania.

Kikubwa ukitumia na VPN inajitajidi.

Nafikiri tuna cha kujifunza hapa kuwa Nchi isitegemee supplier mmoja wa Internet
TUKARIBISHE MUWEKEZAJI MWINGINE ILI PALE MKONGO WA TAIFA UNAPO ZINGUA TUWE NA MBADALA
Tukumbuke kuwa, hili janga lipo Kenya, Uganda na Rwanda ILA kwa ukubwa tofauti ; Mfano Kenya walimkaribisha mwekezaji mwingine wa Internet (wakawa wawili) hivyo janga haliwezi kuwa kubwa kwao kama kwetu
 
Serikali ilikataa Starlink sababu inaogopa itakosa control ya vyombo vya habari na Internet. Leo hii miwaya ikikatika huko baharini Taifa zima linakata mawasiliano na dunia.

Hivi ni nani anayepigia kura serikali kama hii? Pathetic.
 
Internet ipo slow sana lakini tunaweza kujuzana mitandao yenye nafuu

Hapa natumia halotel 4G, ipo slow kama kobe, Imenilazimu nizime picha kidogo kuna nafuu.

Wewe unatumia mtandao gani, Je kuna nafuu ??
Usafiri hasa wa anga haujaathirika?
 
Back
Top Bottom