Inasemekana hii ndio gari nzuri ya kuanza nayo maisha.

Expensive life

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,773
5,638
Kwa sisi wazee wakungaunga mtonyo wajuzi wanasema ist ndio gari nzuri ya kuanza nayo maisha.

Wajuzi wameenda mbali na kusema ulaji wa mafuta wa gari hili ni mdogo sana. Hata service zake ni uhakika.

F2F73418-C9CB-4C65-8278-40B086AB54C0.jpeg
 
Kwa sisi wazee wakungaunga mtonyo wajuzi wanasema vitz ndio gari nzuri ya kuanza nayo maisha.

Wajuzi wameenda mbali na kusema ulaji wa mafuta wa gari hili ni mdogo sana. Hata service zake ni uhakika.

View attachment 2950673
Wamiliki hawavifanyii service unakuta kigari kinagonga kama guta. Vingine unakuta vinakoroma utafikiri vimevalishwa engine ya Subaru STI
 
IST zina engine nzuri, kwa generation ya kwanza vinatumia 1.3L 2NZ-FE au 1.5L 1NZ-FE ambazo ni engine nzuri zimetumika kwenye Corolla.

Tatizo watumiaji au wamiliki wengi wa hizi gari kwakua wameshaambiwa ni cheap ku-maintain basi ndii hawafanyi maintenance kabisa. Wamekalili Toyota engine ina last forever.

Mostly hawabadirishi oil on time, ATF, mabush etc.

Ila kikimpata mtu ambae sio bahiri na anapenda gari lake, hiki kidude kinaweza kufika 300k kilometres.
 
Naunga mkono hoja ila hivi ukiendesha sana vinatabia ya kuunguruma vibaya sana ila vinasaidia sana hivi kipindi cha mvua
Ni gari Moja nzuri, inaweza ita mafuta chalinze na Bado ukaja jaza sheli za posta, ukifanya service at time unaweza mgusa mtu na pampa mlio asiusikie , 1.5liter ni the best ever, weka oil 5-30 kwa injini ,angalau kwa mwaka mara mbili coz unaweza usimalize km, kama uko vizuri fanya service hata mara tatu kwa mwaka, Kila baada ya miez minne, hapo hujamaliza kms
 
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom