Ila Roman Abrahamovich alikuwa kiongozi kweli

Wewe nadhan ni wale watu wanaopenda ubishi wa kijinga. So wale watoto kwenye familia wako faster zaid ya wenzao unawazungumziaje. Mtu kama mo dewji unafikir baba yake ni mjinga yeye ndio akawa kiongoz wa kampuni zake. Au mbowe hujiuliz kwanini yeye katika watoto wengi wa mzee mbowe. Watu wote wako sawa ila sio watu wote wakko sawa kwenye kila kitu. jaribu kutofautisha nature na naturer. Ndio maana tuna kuja na idea tofauti. Wenzetu wamefanikiwa sana baada ya kugundua hiz asili. Kwa mfano ukienda China watu wa asili ya fujiang ndio wako faster kwenye kila kitu na serikali yao kwenye yale maeneo nyeti ndio wanashikilia ukija Kenya kuna mkikuyu ukienda Congo kuna wakasai ukienda nigeria kuna waibo ukija ukienda Rwanda kuna watutsi ukija bongo kuna wachagga India watu wa Gujarati wako faster kuliko wahind wote nk. Wako hivyo tu washaumbwa hivyo. Na sio ubaguz ni katika kubalance mfumo wa dunia. Hata watoto uliozaa kuna ambao wako faster wapo wa kati na wapo slow laner. Hiv kwa mfano unapomuona simba anamla swala porini unafikiri Mungu ni mbaguz au?
Ndugu hueleweki unataka kusema nini, huku umeanza kusema nina ubishi wa kijinga.nikisoma ndani ni kama unafafanua zaidi ya nilichosema...unaelwa hata unabisha kitu gani, au kwa sababu wametaja wayahudi..nyinyi wafiadini mnakuja mnaropoka tu kwa hisia.???
 
Ndugu hueleweki unataka kusema nini, huku umeanza kusema nina ubishi wa kijinga.nikisoma ndani ni kama unafafanua zaidi ya nilichosema...unaelwa hata unabisha kitu gani, au kwa sababu wametaja wayahudi..nyinyi wafiadini mnakuja mnaropoka tu kwa hisia.???
We ndio hueleweki. Binadamu hawez kuwa na akili moja sawa nature inakataa
 
Back
Top Bottom