kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 3,971
- 6,296
Kuna watu wana akili kuliko wengine mkuu. Ndio nature ilivyo sio suala la kuamin ndio uhalisia. Hao watu wapo wa darasani ulikutana nao na wengine utakutana nao kwenye maisha ya kawaida. Usipokubali hilo hutajifunza chochote kwenye maisha. Kuna Wakat unaweza ukawa na kijana wa kaz ukaona huyu yuko vizuri kazin kuliko huyu ile karama kapewa. Yule asiyekuwa nayo ana eneo lake lingine kapewa so hizo karama zikikutana kunatengenezwa mfumo imara. Nakupa home work. Fuatilia jamii zinazochukiwa sana. Utakuja kukuta ndio zenye mafanikio. Hata kwenye familia kuna ambae anajiweza na kuna ambao wanaomuona anaringa. Siri kubwa kuliko zote ni kunyenyekea na kutii. Utajifunza mengi na utapendwa na wengi. Mungu mwenyewe anapenda wanyenyekevu.Mimi ni mkristo lakini si mjinga wa kuamini watu fulani wanaakili kuliko wengine..Mungu hana ubaguzi tunachotofautiana ni matumizi ya akili.