Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,250
- 5,323
Takwimu za kimbumbumbu hizi,huyo anaeshika namba moja ndio huyu aliekula goal nyingi Jana?
Na keki ingekatwa..dadeki,Simba wenyewe sasa wala awana habari washazoe link za juu kimataifa wanaona kawaida yani.
Mungu wangu ingekua ile timu ya askari zenj f.c wangefanya sherehe kila tawi,si mnawajua walivyo washamba!
Kunywa panadol mkuu,, yatapoa tu maumivuTimu no 9 Kwa u Bora isiyo na kombe lolote hata la uji Mwaka wa pili huu
Na washabiki wake hao wanafurahi
Ni sawa na CCM kuwaambia Wananchi wake kuwa Pato la mtanzania limekuwa wakati Wananchi hata Milo miwili hawawezi kuimudu
Timu no 9 Kwa u Bora isiyo na kombe lolote hata la uji Mwaka wa pili huu
Na washabiki wake hao wanafurahi
Ni sawa na CCM kuwaambia Wananchi wake kuwa Pato la mtanzania limekuwa wakati Wananchi hata Milo miwili hawawezi kuimudu
Kutakuwa na siri, why wakimbilie kukata kekiNa keki ingekatwa..
Kuna timu tano hapo hazina hata kijiko ukiitoa hiyo simba na wengine wanamiaka10 hwajawahi kushika nafasi ya pili kwenye ligi zao nchini mwaiTimu no 9 Kwa u Bora isiyo na kombe lolote hata la uji Mwaka wa pili huu
Na washabiki wake hao wanafurahi
Ni sawa na CCM kuwaambia Wananchi wake kuwa Pato la mtanzania limekuwa wakati Wananchi hata Milo miwili hawawezi kuimudu
Huyo ni mbuzi unampigia gitaaKuna timu tano hapo hazina hata kijiko ukiitoa hiyo simba na wengine wanamiaka10 hwajawahi kushika nafasi ya pili kwenye ligi zao nchini mwai
Na hii nayo nimeitoa football database. Nenda kaangalie uje na nyingine tofauti na hii kama ipo!!Football Data Base kwangu ndiyo iliyo sahihi.
HongereniView attachment 2547160
IFFHS imetoa orodha ya timu 10 bora za mwezi za CAF
1. Ahly - 220 points
2. Wydad - 170 points
3. Zamalek - 154 points
4. Pyramids- 140.5 points
5. Al Hilal - 132.75 points
6. Mamelodi- 127 points
7. CR Belouzidad - 117.75 points
8. Raja Casablanca - 117 points
9. Simba SC - 113 points
10. Petro Luanda - 112 points
Nakutafunia
Yaani ukiwatoa waarabu inabaki Mamelod kisha Simba Sc tu. Baaaasi
Nyie wenye kombe leteni list yenuTimu no 9 Kwa u Bora isiyo na kombe lolote hata la uji Mwaka wa pili huu
Na washabiki wake hao wanafurahi
Ni sawa na CCM kuwaambia Wananchi wake kuwa Pato la mtanzania limekuwa wakati Wananchi hata Milo miwili hawawezi kuimudu
Na Petro Luanda(Angola).....basi..View attachment 2547160
IFFHS imetoa orodha ya timu 10 bora za mwezi za CAF
1. Ahly - 220 points
2. Wydad - 170 points
3. Zamalek - 154 points
4. Pyramids- 140.5 points
5. Al Hilal - 132.75 points
6. Mamelodi- 127 points
7. CR Belouzidad - 117.75 points
8. Raja Casablanca - 117 points
9. Simba SC - 113 points
10. Petro Luanda - 112 points
Nakutafunia
Yaani ukiwatoa waarabu inabaki Mamelod kisha Simba Sc tu. Baaaasi
View attachment 2547160

uzi ilibidi uishie hapa kweny comment yako mkuu.Ni sawa na wana unaokuwa nao kijiweni halafu ukapambana ukatoka. Wanakuchukulia easy tu
Timu zote lazima zipitie hali hiyo, ukiwa na timu nzuri kuna kipindi timu yako naishiwa makali kutokana na wachezaji kuzeeka au wachezaji wapya unaosajili kushindwa kuziba nafasi zilizoachwa wazi na wachezaji wa zamani.Tatizo kuna watu wanaichukulia poa sana Simba, ila kiukweli wamepambana sana kufika walipofika hata kama msimu huu wana timu mbovu kama wasemavyo baadhi ya watu!