Huyu ndio Alikuwa Profesa Kabudi wa Kweli. Hili Toleo la Pili ni Utata

Kabudi ametia aibu sana, na mama kwenye cabinet yake amemtema hataki kukaa na mnafki kama Kabudi.

FB_IMG_1689851854838.jpg
 
Hapo zamani za kale alikuwepo Profesa mahiri na msema kweli.

Aliwahi kuzungumza ukweli kuhusu Tanganyika na kuwa ipatikane sasa kwa hiari isisubiri kama yule Rais wa Romania.
View attachment 2984444
Duuh, Aisee hii ilikiwa lini na wapi? Madini sana haya wakati Prof. Kabudi akiwa na akili zake before hajalishwa damu ya Uchawa
 
Ila siasa aisee.

Kinachotutesa ni ulaji na uwoga.
Watu sio wajinga, wakielimishwa wanaelewa na kubadili mitazamo. Ubaya ni kua kula ya wengi inategemea chama tawala na watawala wake.
Hawa sasa ndo hufanya kila jitihada za kukikosoa chama/mtawala kuelekea jambo jema kua ngumu mno.
Wao ni mema na mazuri tu, mabaya hawayaoni.

Ni kweli Tanganyika inahitajika mno.
 
Inasikitisha sana kutoka alikokuwa mpaka kuja kuitwa mpumbavu na mamlaka ya uteuzi,nwenzake mwingine aliyewahi kuitwa mpumbavu ni bwana Mpango
 
Back
Top Bottom