Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

🤣🤣
IMG_0810.jpeg
 
Hapa ndio utaelewa kwa nini siri nyingi zinamfikia Mange Kimambi Yani mtu kama huyu tusingepaswa tumuone tena sababu ni Jasusi na watu walishaanza kumtambua kitambo eti ooh na yy anatudanganya kwa Ayo Tv hakuamin kama mama na Ikulu wangempa mwaliko😂😂😂 waanike masiri yao tu tuwajue na watu wao na kuna wengine tunakunywaga nao bia huko wanavimba wametoka geti Jeusi Sasa Unyeti wa Idara Uko wapi?
for you information, ujasusi ndio unatakiwa uwe hivyo,

kila mtu anakazi yake, yupo anayepewa kazi ya kumpa siri mange
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom