Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

Hata ulindweje wahuni wakujitoa muhanga wakiamua kukudungua wanakutungua tu...

Kina shinzo Abe, Abrahamu Lincoln, John Kennedy, walitunguliwa mchana kweupe..
Upo sahihi ila mara nyingi matukio kama hayo kunakuwepo na mtu wakaribu na Rais aloamua kumsaliti yaani katika timu yake ya walinzi anaowaamini sana yupo mmoja ndie anaweza kusaidia kufanikishwa kwa suala hilo.
 
Hata ulindweje wahuni wakujitoa muhanga wakiamua kukudungua wanakutungua tu...

Kina shinzo Abe, Abrahamu Lincoln, John Kennedy, walitunguliwa mchana kweupe..
Upo sahihi ila mara nyingi matukio kama hayo kunakuwepo na mtu wakaribu na Rais aloamua kumsaliti yaani katika timu yake ya walinzi anaowaamini sana yupo mmoja ndie anaweza kusaidia kufanikishwa kwa suala hilo
Special forces hawana advanced skills za mixed martial arts.

Mixed martial arts kwenye special forces ni supplemental tu.

Sijawahi kuona advanced training [ya hand to hand combat] ile kwa special forces.

Hakuna tofauti yoyote ya mixed martial arts training wanayopata special forces na vikosi vingine vya kawaida.
Mkuu umeshawahi kufanya kazi Special forces hongera sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom