Huyu Binti wa Kipemba anahitaji nini kutoka kwangu??

wewe sio mlokole, acha kuchafua walokole. pili, kifo kipo mlangoni mwako au ulemavu wa kudumu. nenda kwa mtu mzima akushauri kuhusu hao wazanzibar, utakuja kujuta maisha yako yote. kama unapenda maisha yako,kimbia kwa nguvu zote, futa namba, na mwambia asikujue maisha yake yote. kimbilia kwa Yesu kwasababu hakika kukuloga atakuloga.
Unataka kuniambia kumpenda Mpemba ni kukisogelea kifo kivipi yani mkuu?? Ebu nielekeze vizuri
 
Ulokole unakuponza sana hao mademu wanahitaji treatment ya ki-gangstar sana mimi ni mpemba nifate nikupe tips jinsi ya kumla huyo chick.
Nielekeze sasa ila sitaki kumfanyia Umafia wa aina yoyote ile.......Huko nyuma nilishafanya mengi kama kuwalazimisha kufanya nao kwa nguvu ila toka niokoke naona kabsa ule ulikuwa ni ushetani wa hali ya juu na kamwe sitoruhusu utokee tena
 
Heri ya krismasi wakuu!?
Twende kwenye mada moja kwa moja,

Mimi ni Mwanafunzi wa chuo fulani bora sana cha afya hapa nchini,
Kuna siku nilikuwa natoka kusoma, kujiandaa na UE(University Examination),sasa wakati natoka class,nikakutana na binti kavaa ushungi, rangi yake kwa mbali kama Muarabu ila sio Muarabu (Ni Mshiraz).........akanivutia sana coz watoto wa rangi hizi hunivutia sana,japo anapenda sana kuvaa juba yani ninja na me sitaki mavazi kama hayo coz ni utumwa kwa mwanamke(akiwA na mimi anatoa juba)

Tukasalimiana,akanipa namba zake,nikaondoka.........nilipofika hostel nikamtext akawa ananijibu kama vile hataki yaani zile short texts nahisi mnaelewa,basi nikaona hiki kidem miyeyusho sana nikaamua simtafuti tena na ata no ake nafuta

Siku iliyofuata akanitext nikamuuliza wewe nani?? Akajitambulisha na akaniuliza kwani namba yake sikui-save?? Nikamwambia nilisahau......Kuna siku niliamua kumu-approach akanijibu hivi;

"Wewe ni mtu wa bara na mimi ni Mpemba tena mbaya zaidi wewe ni Christian,unafikiri mimi nitaweza kuwa nawe? Please tafuta mwingine" Nikamjibu "poa" tukaendelea kuwa marafiki wa kawaida tu

Chuo kilipofungwa akarudi kwao,Kuna siku alinitafuta akiwa kwao akaniuliza mbona uwa simtaffuti ata tu kumjulia hali nikamjibu simu nilipoteza na ata no ake nilikuwa sina,tukazungumza mengi ila niliona kama vile ananitaka,ikanibidi nimkumbushie lile jambo langu na kweli akanijibu;

"Nimekubali ila naomba usije ukanisaliti coz nataka niwe nawe maisha yangu yote na ata ndoa tutafunga serikalini kama unakubali lakini coz wewe ni mlokole huwezi kuslim na me sitaki uwe Muislam coz sitaki ndoa za mitala na mimi sitaki kuwa Christian" basi tukaingia kwenye mahusiano namna hiyo

Ila nilipoomba mzigo,akanijibu yeye ni bikra hivyo hawezi kunipa mpaka siku ya ndoa,nikampiga sana maneno ila akashikilia msimamo wake,nikasema fresh ila akaniambia kama nitakuwa tayari nisubiri afike walau mwaka wa tatu ndo anipe ili ata kama atapata Ujauzito iwe rahisi kulea mtoto baada ya masomo,nikaona ana hoja za msingi sana.........anapaswa kusikilizwa

Chuo kilipofunguliwa akaja Dar,penzi likaanza kumea,sasa kuna siku moja nilimuomba simu yake akanipa ila nikaona kama vile Kuna text siielewi imeingia kwenye simu,nikamuuliza huyu ni nani akanijibu rafiki ake wa kiume,ila nilipoendelea kumuhoji sana akanipa mkanda mzima,akasema

"Fulani nisamehe,leo nitakwambia ukweli,Kuna mtu wa Imani yangu nilikuwa nae kwenye mahusiano ila alikuwa anataka sana sex,Kuna siku niliambiwa kuwa anapenda kwenda Kitambaa cheupe kununua Malaya,na mimi nilipo jihakikishia nikaamua kuachana nae ila kwa sasa hapa anataka turudiane ndio maana anatuma hizo sms" niliposoma zile texts niligundua ni kweli analosema nikamwambia Sawa ila angeniambia kabla coz hii inajenga picha nisije kumuamini tena........nikamsamehe na maisha yakasonga

Kuna siku tena tukakutana ila ghafla Kuna jamaa alikuwa anampigia sana simu ila hapokei,baadae nikaona kama vile wanachat sana,nikasema asinichezee,nikachukua simu yake kwa nguvu ila akanizuia kwa nguvu zote nisisome texts za yule mtu wanae chat nae,nikaona hapa nazungukwa,nikamwambia kuanzia leo asinitafute tena akanibembeleza sana ila nikashikilia nsimamo wangu............nikampiga chini kiaina japo nilimpenda sana

Kuna siku nilianza kummiss,nikaona nirudishe penzi coz uwa siwezi kumuacha mtu kirahisi bila kumnyadua kwanza,nikamtext akanijibu angependa tuonane nikamjibu poa........tukakutana ila nilipomwambia kuhusu kurudiana akawa anajiuma uma sana,mara ooh alijaribu kuniomba msamaha ila nikaghairi so now ameamua ku-focus kwenye masomo,nikajua tayari uwenda kämpata mwingine bora kuliko mie,nikamwambia basi fresh

Ila sasa amekuwa akinisumbua mara kwa mara na sms na kaanza kuniita me rafiki yake,mara kanimiss sana,mara nimsaidie ushauri,mara ananitumia picha zake whatsapp na email.......yaani nawaza nifanyeje ili niweze kuwa nae mbali na nimsahau kabisa kwenye maisha yangu maana naona kuwa nae karibu ni kujipa pressure tu bure

Karibuni jamvini!!!!
Unasomea chuo Cha afya unapata wapi muda wa ku deal na mapenz kijana?
 
Chuo unasoma kitu gn unaonekana MJINGA sana
 
Madem siku hizi wanaishi kwa akili sana na wewe umewekwa kama backup tu. Mambo yakiharibika upande ule anakuja kwako kupata faraja kwa kifupi mademu wengi sasa hivi wamekuwa wa hovyo sana na hawaeleweki kipi wanachokitaka lakini siku zote mwisho wao huwa ni kuchakazwa na kupoteza thamani zao.
 
Fanya kitu kimoja nipe namba yake nimshauri kitu then utaona penzi lenu litakavokuwa wew mwenyew utafurahi
 
kosa la kwanza mlokole kosa la pili mbara kosa la tatu mweusi,ushauri wangu achana na uyo mpemba unapoteza time yako tu.wapemba kama warabu tu wa middle east Ni Ngumu sana kuwaozesha mabinti zao kwa Watu wasio wa asili yao .ukiendelea kulazimisha utakuja kukutana na ubaguzi urudi hapa tena kupiga kelele tafta walokole wezako mbona hapo muhimbili wamejaa wakutosha
 
Back
Top Bottom