Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 3,923
- 6,730
Sio kweli hapa Mungu umemsingizia tuu.Alietuumba mwenyewe alituweka na uwezo huu wa kutojuana mawazo alikuwa na maana yake!
Haya sasa wameingia viherehere watatuuwa hawa..
Huu uwezo upo na kuna watu wanao, wengine wanautumia vibaya uwezo huu kutapeli watu ( mind reading)