Huduma za kuhamisha Dar na mikoani

Usipate kazi ya kujisumbua bure huduma ya kuhama sasa hivi tumewarahisishia, tunahamisha kutoka mtaa mmoja hadi mwingine, pia kuna watu wanaohama mkoa mmoja kwenda mwingine sisi vyote hivyo tunafanya, na tunakupelekea hadi makazi mapya unayohamia na tunakuoangia vizuri kabisa.

Kama una dishi tunakuwekea na kitu pekee kabisa ni bei, bei zetu zimekaa kizawa, hazina ushua wowote kwa maana ya kwamba yeyote anaweza pata huduma nipigie 0685085466.
 
Back
Top Bottom