Huduma za kuhamisha Dar na mikoani

karibuni HUDUMA YA KUHAMA, mtaa kwa mtaa na Dar kwenda mkoani.
Huduma zetu ni pamoja na;
👉kufunga na kufungua vitu tunapofika unapohamia
👉kupanga vitu mahala pake
👉kuweka mapazia na dish kama lipo
👉kukodisha gari la mizigo yako kama ukihitaji
👉kusafirisha mizigo mkoani

tupigie au watsapp 0685899619, tunapatikana kinyerezi DAR ES SALAAM @sway_fast_movers @sway_fast_mover
 
Back
Top Bottom